ng'ombe

Lusinga Iwa Ng'ombe (c. 1840–1884) was a slave trader in the region to the west of Lake Tanganyika in the 1870s and early 1880s.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  2. NALIA NGWENA

    Wachambuzi wameisahau Kengold kuwa imepanda ligi kuu, wanaisifu Pamba muda wote kwa kua wamepewa supu ya Ng'ombe na mboga ya kupeleka nyumbani

    Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
  3. Uzalendo wa Kitanzania

    Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  4. ward41

    Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

    Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza 1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu. 2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu. 3) Tayari wa Israel wanakaribia kumchinja huyu ng'ombe 4) Kunyakuliwa kwa kanisa 5) Ubomowaji wa msikiti wa alqsa...
  5. Mfugaji123

    Najibu hoja za wadau kuhusu biashara ya kunenepesha ng'ombe Tanzania

    Baada ya kuandika article kuhusiana na biashara ya kunenepesha ng’ombe nimepata maswali mengi kuhusiana na biashara hii. Wengi wanahoji inafanyikaje, ukubwa wa mtaji, vihatarishi vyake, unaweza kukosa wateja na wengine mtu anaweza kuanza akiwa na mtaji kiasi gani?. Sasa biashara yoyote kitu...
  6. Sildenafil Citrate

    UZUSHI Maziwa fresh ni tiba ya sumu ya vumbi linaloingia kwenye mfumo wa upumuaji

    Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba? Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
  7. Kaka yake shetani

    Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  8. Makamura

    Stendi ya Boma Ng'ombe Inahitaj Maboresho

    Hii ni stendi iliyopo katika Wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro, mahala panapojulikana kwa jina la Boma Ng'ombe, Stendi hii inamashimo shimo ambayo sio rafiki kwa watumiaji wa stendi hii. Pia stendi hii ni chafu, imezagaa taka za vifungashio vya Chakula na Bidhaa mbalimbali. Mamlaka ichukue...
  9. ALAGWA SAFI

    Nataka nianze kufuga ng'ombe wa kienyeji. Naomba ushauri

    Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5. Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je? Ni changamoto gani nitakumbana nazo nijiadhari mapema. Location yangu ni Dodoma
  10. Mjanja M1

    Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

    Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya. 📹 SwahiliTimes
  11. Erythrocyte

    Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

    Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana . Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko...
  12. Kinumbo

    Pata maziwa ya ng'ombe halisi kabisa

    Wakuu natumai mko njema kabisa. Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni maziwa halisi yasio kuwa ata na tone la maji, ni maziwa ambayo ng'ombe anakamuliwa kisha unaletewa...
  13. Papaa Mobimba

    Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

    Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
  14. GoldDhahabu

    Iweje ng'ombe auzwe kwa bei inayozidi ya gari la kifahari?

    Ukiwa na bilioni tatu, utanunua gari lipi la kifahari? V8? Range Rover? Mercedes Benz S Class? Nimeyataja hayo magari kwa kuwa ninayapenda. Na kama wewe ni mpenzi wa magari tajwa kama mimi, unaweza kuyapata yote ukiwa na bilioni tatu, na bado ukabakiwa na chenchi. Kama kwa hela hiyo unaweza...
  15. A

    Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

    Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili km.kibuyu
  16. GoldDhahabu

    Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifingua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  17. S

    Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang! Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
  18. Burkinabe

    Aina ya uongozi tulio nao; anayechelewesha msafara ng'ombe wa mbele, anatandikwa wa nyuma

    Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7. Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora. Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanafanana karibia kwa kila kitu (ukitoa wachache tu wanaojitambua). Wengi wao hawana...
  19. Masokotz

    Plot4Sale Boma linauzwa Boma Ng'ombe kwa Wasomali

    Habari za wakati huu; Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani. Nyumba ziko kwenye eneo la ukubwa wa 23 kwa 17 Meters...
  20. MK254

    Mtu mmoja auawa India kwa kula nyama ya ng'ombe

    Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake. Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
Back
Top Bottom