dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah;) is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa TMDA wanaofanya ukaguzi Maduka ya Dawa wachunguzwe, wanakiuka maadili

    Baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ambayo miezi kadhaa iliyopita ilikabidhiwa jukumu la kusimamia maduka ya dawa kutoka Baraza la Famasi ambao walikuwa na jukumu hilo awali, wamekuwa wakienda kwenye maduka ya dawa haswa yenye changamoto ya usajili wa baadhi ya dawa na...
  2. jastertz

    Ukinunua Dawa ukazidishiwa na Daktari/Muuzaji huwa unasema au unakausha?

    Habari zenu, Kuna ile tabia unaenda dukani unanunua kitu unazidishiwa au chenji inarudi imezidi.. Kuna wengine waungwana husema papo hapo na kuna wengine hutoka na speed 120km/h bila kuangalia nyuma asije kuitwa. Sasa tuje upande wa matibabu. Ikitokea umeenda kununua Dawa iwe Dukani/Duka la...
  3. Tlaatlaah

    Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

    kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini? Au akupe dawa ya mvuto wa kimapenzi?🐒 vipi ndugu, uliwahi kujaribu kupitia njia hii na vipi matokeo...
  4. Replica

    Serikali kutafiti maeneo sita kwa bilioni 3.5, yamo usugu wa dawa, saratani na nguvu za kiume

    Serikali imetenga bilioni 3.5 katika bajeti ya wizara ya afya kusimamia tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali katika afua za: Tafiti za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani Ufuatiliaji wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa Utafiti juu ya changamoto ya afya ya akili Matumizi ya...
  5. S

    SoC04 Tanzania mpya bila usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa za antibiotiki (Antibacterial Resistance)

    TANZANIA MPYA BILA USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJWA DHIDI YA DAWA ZA ANTIBIOTIKI (ANTIBACTERIAL RESISTANCE) UTANGULIZI; usugu wa vimelea ni hali na uwezo wa kimelea kuzidi kukua na kuongezeka dhidi ya dawa kwa kutumia dozi sahihi na muda sahihi wa dawa hiyo kwa kuzuia utendaji kazi wa dawa kwa...
  6. Roving Journalist

    Orodha ya Dawa zilizoongezwa katika Kitita cha Mafao cha NHIF

    Kufuatia mapitio yaliyofanywa na Wizara ya Afya kwenye Orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (NEMLIT) kwa kujumuisha muunganiko, muundo na nguvu kwa dawa 178, NHIF imejumuisha dawa hizo kwenye Kitita chake cha Mafao cha Mwaka 2023. Hatua hii inaongeza wigo wa aina za dawa zenye muundo, nguvu na...
  7. DR Mambo Jambo

    Baada ya malalamiko Ya wadau wa Afya ya Muda Mrefu hatimaye NHIF imerudisha Dawa 178 Zilizokuwa Zimefutwa Kwenye Kitita

    Baada ya Malalamiko Yaliyodumu kwa Miezi kadhaa na Kufikia Hatua baadhi ya Hospitali Binafsi kususia ama kuzuia Matumizi ya Bima hiyo hatimaye Leo Dawa 178 Zimerudishwa Tena kwenye Kitita Hicho kama ilivyokuwa zamani.. Nawashukuru Wananchi wote wanaoendelea Kupiga Kelele wanapoona Jambo...
  8. C

    NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa

    Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178 pamoja na kujumuisha dawa nne zilizokuwepo kwenye Mwongozo wa Taifa wa Matibabu lakini hazikuwemo...
  9. BARD AI

    Serikali yarejesha Vifaatiba na Dawa 178 ilizoziondoa kwenye Kitita kipya cha Bima ya Afya

    Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'
  10. mathsjery

    SoC04 Kuimarisha Udhibiti wa Dawa za Asili: Kuunda Mfumo Thabiti wa Kuhifadhi na Kudhibiti Dawa Zilizothibitishwa kwa Matumizi ya Binadamu

    Utangulizi: Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa mfumo thabiti wa udhibiti na uhifadhi wa dawa zilizothibitishwa ili kuhakikisha usalama na ufanisi...
  11. G

    Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
  12. Damaso

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: TMDA endelevu dhidi ya Vita ya Dawa Feki

    TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
  13. Its Pancho

    Dawa ya simba kusonga mbele ni kukubali yanga wapo mbele zaidi yao.!

    Bodies of jamii forum I salute you..! Hii team inayoitwa simba kwa kweli inasikitisha.! Wana matatizo mengi sana lakini kwa uchache tunayajua na wao hawataki kuyakabili ili wasonge mbele! Inasikitisha WACHEZAJI!. SIMBA miaka hii inafeli upande wa usajiri, Sijui ni nani anawaletea wachezaji...
  14. The patriot man

    Kumbe alikua ananiwekea dawa aisee fear women

    Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena hata nikae masaa 10 na hamu ya tendo la ndoa linaniisha kabisa... nikawa najiuliza nimekumbwa na kitu...
  15. D

    Natafuta Duka La Dawa Linalouzwa

    Habari wana JF, Natafuta duka la dawa linalo uzwa Ambalo lina kila kitu. Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara. Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe. Mawasiliano;0757915171
  16. BARD AI

    WHO yadai Dawa ya Kifua 'Benylin Paediatric Syrup' iliyogundulika kuwa na Sumu haipo kwenye soko la Afrika

    AFYA: Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Dawa ya Kutibu Kifua kwa Watoto aina ya Benylin ambayo vipimo vya uchunguzi vilibaini ilikuwa na viwango visivyokubalika vya Dawa ya 'Diethylene Glycol' Dawa hizo ambazo zilikuwa zikizalishwa na kampuni ya Johnson & Johnson (JNJ.N) ya Afrika Kusini...
  17. Lady Whistledown

    Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  18. R

    Msaada wa dawa ya kuua magugu kweye shamba la mahindi

    Nitumie dawa gani ambayo itaua magugu yote ndani ya shamba la mahindi na kuacha mahind intact (selective one)
Back
Top Bottom