dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Yanga imekuja na Gamondi day mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji mei 22

    "Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ Kwenye π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ itakapofika 𝐝𝐚𝐀𝐒𝐀𝐚 𝐲𝐚 πŸ‘πŸŽ, wana...
  2. F

    SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  3. MK254

    Wakimbizi wa Syria waanza kuondoka Lebanon baada ya chuki dhidi yao kuzidi

    Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani kwenu hapo hii sio miaka ile mlikua mnapata msaada kisa dini au undugu. Hawa maskini wa Syria wanalazimika kurudi kwao kisa chuki zimekidhiri. More than 300 Syrian refugees headed back home to Syria in a convoy on...
  4. Mr Chromium

    Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

    Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini...
  5. Abou Shaymaa

    Nataka Kufungua Mashtaka dhidi ya Tanesco kwa hasara waliyonisababishia

    Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu...
  6. Mto Songwe

    China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

    Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on semiconductors, 100% on EVs, And 50% on solar panels. China is determined to dominate these industries. I'm...
  7. S

    Rufaa ya Yanga dhidi ya Mamelodi, majibu yanapaswa kutoka lini?

    Habari Wadau, Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF? Japo...
  8. M

    SoC04 Soma kwa umakini. Elimu ndogo ya ulinzi dhidi ya udukuzi mtandaoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine. Mara zote account...
  9. S

    SoC04 Tanzania mpya bila usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa za antibiotiki (Antibacterial Resistance)

    TANZANIA MPYA BILA USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJWA DHIDI YA DAWA ZA ANTIBIOTIKI (ANTIBACTERIAL RESISTANCE) UTANGULIZI; usugu wa vimelea ni hali na uwezo wa kimelea kuzidi kukua na kuongezeka dhidi ya dawa kwa kutumia dozi sahihi na muda sahihi wa dawa hiyo kwa kuzuia utendaji kazi wa dawa kwa...
  10. B

    Mjukuu wa Mandela: Babu angekuwapo angewaunga mkono HAMAS na Wapalestina dhidi ya Israel!

    1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel. 2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT, UDSM au wapi wa aina ya mjukuu huyu wa Mandela? 3. Kwamba nani anaweza kuthubutu kwa na hakika...
  11. Hance Mtanashati

    Mwanadada bondia Claressa Maria Shields atangaza pambano lake dhidi ya bondia wa kiume Ryan Garcia amuoneshe kazi.

    Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia . Ryan Garcia tangu amtandike kiroho mbaya bondia Devin Haney amekuwa na mapepe sana mpaka imekuwa...
  12. NALIA NGWENA

    kitakachowaua Azam fc dhidi ya Simba sc (Mzizima Derby) ni hiki hapa

    Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya (1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
  13. Frank Wanjiru

    Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

    Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
  14. 1

    Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

    Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange...
  15. Mzalendo Uchwara

    Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
  16. JOHN MAXWELL

    SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  17. Newbies

    Je, kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara nikinga dhidi ya saratani ya tezi dume?

    Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu. Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za...
  18. Language Therapist

    SoC04 Tahadhari zaidi inahitajika dhidi ya Mauaji ya Kinyama nchini, na si kusubiri yatokee ndipo tushughulike nayo

    UTANGULIZI: Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote tunatambua kuwa kumtoa mtu uhai wake ni kinyume na haki za binadamu kwani unamuondolea haki yake ya...
  19. BabuKijiko

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
Back
Top Bottom