Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,681
- 3,704
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.
Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.
Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.