goli

Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.

View More On Wikipedia.org
  1. MwananchiOG

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro. Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza...
  2. D

    Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
  3. Mkalukungone mwamba

    Jicho langu: Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki

    Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika Dimba la Azam Complex Chamazi na Simba kuibuka kwa ushindi wa magoli mawili. Kwa Jicho langu la...
  4. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

    Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi. Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu TFF na...
  5. Smt016

    Sikuona makosa ya Kennedy Juma kwenye goli la pili la Namungo

    Naona kila mmoja anamnyoshea kidole Kennedy Juma kuwa ndio aliyefanya makosa kwernye lile goli. Pengine Kennedy ana nyota mbaya ya kutopendwa na wanasimba lakini kwa goli la jana halikuwa kosa la Kennedy Juma bali ni la kipa Ayoub. Kipa alitoka golini kwake kufuata mpira pasipo mawasiliano...
  6. PAZIA 3

    Elimu: Ikitokea refa akahusika kufunga goli kwa bahati mbaya, goli hilo siyo goli

    Kama utakumbuka, miaka ya 2018 kurudi nyuma, refa alizingatiwa kama mchezaji wa ziada na ilipotokea akahusika kwa namna moja au nyingine, matokeo yoyote yalikuwa yanahesabika bila tatizo lolote. Mpaka mwaka 2019, sheria ya refa kuwa sehemu ya mchezo iliondolewa hivyo, kwasasa ikitokea refa...
  7. JanguKamaJangu

    Huyu Mchezaji ni nani? Alifunga goli hili katika Fainali dhidi ya Barcelona

    Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1. Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka...
  8. Pdidy

    Ff Spain derby R.Madrid atashinda goli kuanzia 2 ama zaidi niko kwa Masawawe wakala

    Research kichwa cha habari hapo juu kama ujaelewa subiri matokeoooo Dk Pdidy
  9. M

    Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani. Au kanuni zimeshabadilika
  10. Dr Matola PhD

    Aziz Ki ameahidi kumzawadia goli Anthony Mavunde katika derby ya Simba na Yanga tarehe 20.

    AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!! Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
  11. Pdidy

    April 20 Yanga atashinda goli 2+

    Tukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia 2+ FT KUANZIA KOLI 3+ Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha Wafungaji wa yanga kati ya Mzize Mudathir Aziz.K Jgwede...... Mwisho nawatakia mechi njema wote mtakaoelekea taifa
  12. adakiss23

    Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video imeambatanisha. NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
  13. M

    Wanaosema lile ni goli na wanaosema sio goli wote wana hoja, matusi ya nini?

    Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na matokeo yangeishia kwa Yanga kutolewa kwa penati. Wapo wanaosema lile ni goli kabisa, limevuka mstari wa...
  14. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  15. Allen Kilewella

    Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Kwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??
  16. DR Mambo Jambo

    Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
  17. B

    Wote waliolilia goli la Azizi Ki wa Yanga dhidi ya Mamelod, je mmeangalia mechi ya Asec vs As du Tunis katika hatua ya penati?

    Kama umeangalia hii mechi hutakuwa na sababu za kuhoji kwa nini goli la Yanga lilikataliwa. Katika mechi hii ya ASEC VS AS du Tunis, mchezaji wa ASEC (POKU, km sijakosea) kapiga penaliti na mpira kugonga nguzo na kudundia ndani na kurudi nje lakini ule mpira ulikwa umeingia ndani 💯% na goli...
  18. U

    Kwanini channel za Afrika kusini zimezuia replay ya goli lililokataliwa isionekane nje ya mipaka, wamepigwa biti au rushwa ? hii nimeipata kwa vpn

    Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
Back
Top Bottom