Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.
Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini
Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
MAKALA SEHEMU YA KWANZA:
TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE
MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS
https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s
Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
Makampuni ya mabasi yanafanya ruti za kusini kupitia kilwa road muwaonee huruma abiria wenu sio mnawachukuwa Dar es salaam mkiwaahidi kwamba Somanga panapitika alafu mnakuja kuwapaki Somanga masaa mengi na kusababisha usumbufu na kero kwa abiria zenu huu sio uungwana jaman.
Nawasilisha..
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo...
Hii barabara ya bigwa kisaki serikali inaonyesha dharau ya wazi kwa watu WA huku imagine magari yanasafiri kilomita 80 moro mvuha kwa siku tatu. Halafu bila aibu ccm watakuja kuomba tena kura.
Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola kujaribu kubadili mwelekeo huu
Takwimu zimeonesha kulikuwa na upungufu wa 8% katika Viwango vya Uzazi...
Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994.
Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed
Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, kabla ya kutetea naomba ujibu swali rahisi, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini...
Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu
Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.
Amesema taarifa hizo ni uzushi na upotoshaji kwa sababu zoezi hilo halihusiani kabisa na Rais Samia kama...
Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn
https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554
Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya Yanga Itakayo pambana na Masandawana katika hatua ya robo fainali ya mkondo wa pili itakayopigwa...
Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini?
Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la Limpopo
Basi hilo lilibeba Waumini waliokuwa wakisafiri kutoka Gaborone, Botswana kuelekea Mji wa Moria...
Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari hiyo kulikosababishwa na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.
Bandari hiyo kikawaida...
Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake.
Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.