japan

  1. Forgotten

    Kwa budget ya 17m napata gari gani kutoka Japan

    Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m. Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
  2. bahati93

    Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

    Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako. Ishu Ni kwamba...
  3. ndege JOHN

    Wanaovizia scholarship za japan tukutane hapa

    Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
  4. E

    Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

    Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
  5. Jamii Opportunities

    Security and Consular clerk at Embassy of Japan April, 2024

    The Embassy of Japan in Tanzania has a vacancy for a Security and Consular clerk. GENERAL INFORMATION 1. Position title Security and Consular clerk (There is only one post available.) 2. Job Description (1) Security Officer at the Embassy of Japan in Tanzania. (2) Collection of information on...
  6. Mto Songwe

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa. Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua. Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
  7. Melubo Letema

    Mwanariadha Magdalena Shauri Aangukia Pua, Tokyo Japan

    Mwanariadha Magdalena Shauri ameangukia pua baada ya kushika nafasi ya 11, kwa muda wa 2:32:58 huko Tokyo Japan, Jana tarehe 3/3/2024. Hata hivyo, Magdalena ndiye Mwanariadha pekee kwa sasa wa kike aliyefuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa mwezi julai, baada ya kupata...
  8. Donnyme

    Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
  9. Jonsonjohn

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  10. Jamii Opportunities

    Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  11. 5 Nyingi

    Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

    Miji ya wenzetu imepangwa ikapangika, imejengwa ikajengeka. Nataka ku relocate nikaishi zangu Kumamoto nchini Japan.
  12. Jamii Opportunities

    Political, Cultural and Public Relations clerk at the Embassy of Japan December, 2023

    Position: Political, Cultural and Public Relations clerk. GENERAL INFORMATION 1. Position title Political, Cultural and Public Relations clerk (There is only one post available.) 2. Period of performance ・One year (renewable. Subject to a three-month probationary period.) ・Full time (40 hours...
  13. X

    PLAZA ACCORD-Mkataba uliotumiwa na Marekani kuishusha Japan kiuchumi miaka ya 1980

    Jinsi tunavyoiona leo teknolojia na uchumi wa China ukipaa na kuitishia Marekani, ndivyo ambavyo Japan ilikuwa na uchumi unaokua kwa kasi na kiteknolojia karibu kuifikia Marekani miaka ya 1980. Marekani akaja na mkataba ulioitwa PLAZA ACCORD. Mkataba huu Marekani alisaini na mataifa ya Japan...
  14. Magari ya Biashara

    Magari mazuri haya hapa Usiagize tena Japan

    TOYOTA MARK X(EBB)⚡️ YEAR:2005 ENGINE CAPACITY:2490Cc ENGINE CODE: 4GR KILOMETER:49,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR:SILVER PRICE/BEI:13,800,000 MILLIONS☎️☎️🚘👍.0711707070 ✅🤝
  15. B

    Crown Prince wa Iran - Nchi ya Iran kwa sasa ingekuwa Japan ya Mashariki ya Kati

    UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8 Source : Valuetainment Crown Prince Reza Pahlavi...
  16. Arnold Kalikawe

    Pentagon kuja na Bomu la Nyukilia lenye nguvu mara 24 zaidi ya lile la Hiroshima, Japan

    Idara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuja na bomu jipya la nyuklia, B61-13, ambalo litakuwa na nguvu mara 24 zaidi ya lile lililoangushwa huko Hiroshima wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1945. Bomu hilo jipya la nguvu ya nyuklia la B61-13 lililopendekezwa na Marekani litabebwa na...
  17. BARD AI

    Japan: Watanzania 6 kuchuana katika Riadha leo ili kuwania nafasi ya Kushiriki Michezo ya Olimpiki 2023

    Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023. Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
  18. Nazjaz

    Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni. Eti Askofu Gwajima anataka kuwapeleka Tokyo Japan wacheza rede wa Msasani

    Askofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan. Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe? Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko. Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na...
  19. Melubo Letema

    RT yakabidhi vifaa vya mchezo wa Riadha kwa Timu mbili zinakwenda Japan na Uswisi

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland. Timu mojawapo iliyokabidhiwa vifaa ni timu ya riadha ya JWTZ inayokwenda kushiriki mashindano ya Majeshi (CISM)...
  20. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa. Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa. Nikaambiwa wanaandaa documents...
Back
Top Bottom