kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  2. R

    Msaada kwa mwenye kujua hili

    Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
  3. ndege JOHN

    Waziri ana nafasi ya kujua mambo mengi, wanayosema wanakuwa wameshauriwa na wataalamu wengi. Hawasemi tu kwa kuropoka

    Kwanini unchallenge mtu wa rais? Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi. Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake. Washauri wake mtaandika mengi ila Waziri hata kama angekuwa na elimu ndogo ana washauri wake...
  4. Teslarati

    Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

    Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba sababu ndo nnavyowatega warembo wa aina hio. Sasa kumbe binti kanikariri, 1 week ikapita nikarudi tena...
  5. D

    Naomba kujua viability ya UTT please kabla sijawekeza huko.

    Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
  6. Eli Cohen

    Ndugu nisaidieni kujua aina hizi za fence ya nyumba

    Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi. Karibuni wenye ueledi juu ya hili
  7. DR Mambo Jambo

    CCM bila kujua Wanakuza Popularity Ya CHADEMA na Kuifanya iwe Juu sana baada ya Kupoteza Popularity kwa Muda Mrefu hii Haiko sawa

    Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena.. Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati...
  8. C

    Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

    Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la...
  9. U

    Expert, naomba kujua ni kampuni gani Ina vyoo imara vya kuchuchumaa

    Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani . Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea...
  10. Manyanza

    Wanawake wengi kwa kujua au kutokujua hujikuta wakifanya vitimbi kwa wenza wao kwa njia zifuatazo

    1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test) Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake. Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...
  11. ndege JOHN

    Nifanyeje kuweza kufanya cheku-up ya figo na ini kwa bima wakati sina tatizo au dalili yoyote ya ugonjwa?

    Habari za asubuhi, Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee.. So ili niache Kwa amani...
  12. Kaka yake shetani

    Naomba kujua tofauti mfano waziri mstaafu na mstaafu waziri

    Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu. mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu. ila kwa wengine ijalishi ni polisi,mwalimu,dokta wanatanguliziwa mstaafu wala sio cheo alichotumikia ili linakuwaje mfano...
  13. Aramun

    Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

    Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
  14. MOSHI UFUNDI

    Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini? 4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba. Lakini vipi pia...
  15. Pua ya zege

    Msaada kujua title ya movie hii

    Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya. Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila...
  16. M

    Naomba kujua, tiles zipi Bora 50*50, 60*60, 40*40

    Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30 Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali zaidi. 50*50 box boja inajenga skwea MITA 1.75 bei raisi kuliko 60*60 Za 40*40 hizi box moja...
  17. MINING GEOLOGY IT

    Kwenye uchimbaji ni lazima kujua jiolojia ya kina cha miamba kwenye upatikanaji wa madini

    Kwa nini tunataka ili? Ndio, katika uchimbaji wa madini, uelewa wa jiolojia ya kina cha miamba ni muhimu sana. Jiolojia ya kina cha miamba inaweza kusaidia katika kutambua maeneo yenye uwezekano mkubwa wa kupatikana kwa madini, kuelewa muundo wa miamba, na kubaini mifumo ya matabaka yenye...
Back
Top Bottom