nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Nisaidieni kazi yoyote halali

    Habiri wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi. LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua. Natanguliza shukrani
  2. Eli Cohen

    Ndugu nisaidieni kujua aina hizi za fence ya nyumba

    Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi. Karibuni wenye ueledi juu ya hili
  3. Pearce

    Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
  4. N

    Nisaidieni kwa hili

    Habari Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto. Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
  5. Fazzah5x

    Naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo wa zamani wa mdada uliokuwa na maneno kama haya

    Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
  6. Zero Conscious_

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  7. Fazzah5x

    Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

    Habari wana JF Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata...
  8. father-xmas

    Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

    Salute wakuu Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani. Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa...
  9. R

    Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Wameligawa kuwa la open space, PB, shule , kanisa, msikiti, makazi etc etc. Sheria iansemaje na kama una case law kuhusu scenario hiyo naomba
  10. Eli Cohen

    Si kwamba napinga ila Nisaidieni kwa kina, Ni ipi sababu ya msingi ya mshahara wa mbunge kuwa mil 18?

    1: Hadhi ya nafasi ya ubunge ? 2: Ugumu wa kazi Ya ubunge? 3: Ndani ya mshahara huo ina inlude na transport na accomodatuon costs za kwenda jimboni na kurudi mjengoni? 4:???? Karibuni.
  11. P

    Nisaidieni ushauri kuhusu pesa ya kujikidhi(boom) niliyokuwa naitunza

    Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, naomba ushauri wenu. Mimi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu hapa Duce nachukua bachelor of science with education biology na geography. (Umri wangu ni miaka 23) Wakuu nimetunza boom toka nipo mwaka wa kwanza hadi sasa na milioni nne na laki Saba kama reserve yangu...
  12. Swahili_Patriot

    Mlionielewa, nisaidieni kutengeneza playlist moja hatari

    Kuna mskaji kanipa mizuka, kanikumbusha mbaaaali saaaana. Aisee embu turudi nyuma kidogo... Crazy gk - sauti ya manka J nature - mtoto idi Ay - yule Fa - unaowa lini, alikufa kwa ngoma, hawajui tulipotoka, natamani, ingekuwa vipi, mabinti, kiboko yangu Mandojo n domo - dingi, taswira, wanoknok...
  13. jay jeff

    Wakazi wa Kirando nisaidieni

    Naomba usaidizi kwa wakaazi wa namenyere kirando na Nkasi nzima. Mimi natokea Kenya. Nipo na jamaa mmoja kutoka eneo ilo niliyetaja niliyekutanishwa naye na Babu mmoja kutoka Holili. Jamaa naona ni kama alinilaghai nilimpea hela anisaidie kufanya kazi fulani mwaka wa 2021 lakini hadi wa sasa...
  14. Mtu Alie Nyikani

    Nina swali kuhusu Elimu ya Secondari ya miaka miwili, nisaidieni majibu

    Habari wakuu. Natumai hali zenu zote ni nzuri. Kwa wale wenye changamoto, Mungu awajalie. Nina swali kuhusu kusoma elimu ya sekondari kwa miaka miwili. Mfumo huu wa Elimu ya Secondary upo hivi yani katka mwaka Mmoja unasoma Madarasa mawili (form 1&2) and next year form 3&4 jumla miaka miwili...
  15. Makamura

    Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

    Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa. Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi...
  16. R

    Wanasheria nisaidieni

    Mtu akistaafu (on compulsory retirement) , hawajamlipa stahiki zake time limitation ni ipi to claim that in a court of law? Nijuavyo if UNFAIR termination from employment, time limitation to lodge grievances at CMA is 30 days. What about a retiring person on retirement age?
  17. T

    Msaada wa kuunganishwa ajira. Nina shahada ya ualimu (Hesabu & IT)

    Wakuu, nina degree ya ualimu (kwa masomo ya MATHS & IT). Nimehangaika sana angalau kupata sehemu napoweza kupiga kibarua nipate chochote kitu ila wapi! Naomba kama kuna mtu anaweza kuniunganisha au kunisaidia kupata job afanye hivyo tafadhali. Natanguliza shukrani.
  18. jmratino

    Nisaidieni hospital inayodili na ugonjwa wa uvimbe

    Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha baba yangu anasumbuliwa na huo uvimbe, umekua ukimdhoofisha afya yake, tumejaribu mara kadhaa kumpeleka hospital lakini matibabu anayopewa yameshindwa kumponyesha, kwa maelezo yake anasema linavuta kwa ndani kama mtu aliyekulenga na mshale wa sindano...
  19. Trainee

    Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  20. sonofobia

    Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

    Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara. Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection. Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
Back
Top Bottom