kilimo

  1. E

    SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  2. K

    Maombi kwa Waziri wa Kilimo, mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki

    Kutokana na mavuno makubwa ya mpunga msimu huu tunaiomba Serikali inunue mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki. Kuna wafanyabiashara toka Kenya na Uganda tayari wameingia katika Mikoa ya Mwanza, Geita, Mara wakinunua mchele kwa bei ya kutupa kutokana na umaskini wa wakulima wetu. Zao...
  3. Kusena

    Kilimo Cha ngano: Naomba Ushauri, muda Gani mzuri wa kuanza kulima na namna bora ya kulima, changamoto na bajeti yake?

    Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika kilimo hiki nikiwa na taarifa muhimu. Karibuni
  4. R

    SoC04 Kilimo na Ufugaji wa Kisasa: Kuifanya Tanzania Mpya kwenye Kilimo kwa Kuilisha Dunia

    Tanzania ina fursa kubwa ya kusimama kama nguvu ya kilimo na ufugaji wa kisasa ambao unaweza kuhakikisha usalama wa chakula ndani ya nchi na kusaidia katika kutoa mchango wa kipekee katika kuilisha dunia. Kufanikiwa kwa malengo haya kutahitaji mazingira ya kisiasa yenye utulivu na uhuru wa...
  5. A

    SoC04 Kilimo ni sekta mama hapa nchini haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI. Pamoja na jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya kilimo lakini bado Kuna changamoto nyingi ambazo ni vifaa duni,ukosefu wa mitaji,ukosefu wa elimu,kukosekana Kwa masoko ya uhakika, bidhaa kukosa ubora unaotakiwa sokoni na kukosa namna bora ya kuhifadhi mazao Yao n.k Hivyo...
  6. Twinawe

    Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
  7. SOVIET UNION

    SoC04 Tujandae na kuisha matumizi kwa baadhi maliasili tulizo nazo

    TUJIANDAE NA KUISHA MATUMIZI KWA BAADHI YA MALI ASILI Mwisho wa matumizi ya baadhi ya Mali asili uko karibu sana, kama nchi tujiandae na tuchukue hatua sasa. Mali asili ni moja ya utajiri wa asili kutoka kwa Mungu, ni utajiri ambao upo tangia kuumbwa kwa Dunia hii.Ukisoma historia biashara...
  8. K

    Nimemkubali Bashe kuwa yuko imara katika kuiongoza wizara ya kilimo

    Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo. Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Akimpongeza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohammed Bashe baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo...
  10. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  11. Edson Eagle

    SoC04 Serikali ifanye haya kwenye kilimo kuhakikisha taifa linapiga hatua

    Serikali itizame katika mambo yafuatayo ili kuhakikisha Tanzania tunapiga hatua katika kilimo kwa miaka ijayo. 1. Kuhakikisha wakulima na wafugaji wanapewa elimu itakayowaongoza katika kutengeneza kilimo kilicho bora na chenye manufaa makubwa. 2. Kuwe na utaratibu mzuri utakao wainua wakulima...
  12. Pfizer

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji

    WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa amesema serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji kwa kujenga miundombinu na kuongeza bajeti. Aidha amezielekeza Halmashauri zote nchini kuweka mpango mahsusi wa ardhi kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji. Majaliwa...
  13. J

    Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

    MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye...
  14. mwanamwana

    Muheza: Wanakijiji wamjeruhi Afisa Kilimo na kuchoma gari lake wakimtuhumu kushindwa kusimamia maslahi yao

    Wananchi wa Kijiji cha Kambai, kilichopo Kata ya Kwezitu, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga, wamewasha moto gari la Afisa Kilimo wa Kata ya Tongwe jirani, aina ya Suzuki, na kumjeruhi. Wanaoshutumu afisa huyo wanadai kwamba ameshindwa kusimamia maslahi ya wananchi, hivyo kuruhusu wawekezaji...
  15. Jabali la Siasa

    Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  16. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani. Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani...
  17. P

    Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  18. The Sheriff

    Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
Back
Top Bottom