maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ncha Kali

    Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

    Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa. Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa...
  2. Ojuolegbha

    Agnes Marwa aomba Maslahi ya Majeshi Yaboreshwe

    Mhe. Agnes Marwa Aomba Maslahi ya Majeshi Yaboreshwe....
  3. L

    Ushirikiano mzuri kati ya China na Umoja wa Ulaya unaendana na maslahi ya Afrika

    Rais Xi Jinping wa China anaendelea na ziara yake barani Ulaya, ambako amesisitiza mara nyingi kwamba kama nguvu mbili muhimu duniani, China na Ulaya zinapaswa kuimarisha uratibu na kukuza kwa pamoja ujenzi wa dunia yenye ncha nyingi. Edward Kusewa, mwalimu wa uchumi katika Chuo Kikuu cha St...
  4. Ketoka

    Siku akitokea Mzanzibar mwenye hila mbaya akawa Rais wa Tanzania, nani atalinda maslahi ya Tanganyika?

    Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na...
  5. kavulata

    Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
  6. T

    Hivi maslahi ya Tanganyika kwenye Muungano na Zanzibar yanatetewaga na nani?

    Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano. Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti...
  7. Fundi manyumba

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  8. Gai da seboga

    Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Wasalam mabibi na mababu... Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura. Katika Jambo lililonishangaza ni kuona wimbi la walimu kuomba hizi nafasi, imani yangu inaniambia hizi ilikuwa n nafasi za kuomba...
  9. Intelligent businessman

    Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

    Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote. Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake Habari zilisema...
  10. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Miaka 10 ya ACT Wazalendo, waelezea kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili

    Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili. Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
  11. mwanamwana

    Muheza: Wanakijiji wamjeruhi Afisa Kilimo na kuchoma gari lake wakimtuhumu kushindwa kusimamia maslahi yao

    Wananchi wa Kijiji cha Kambai, kilichopo Kata ya Kwezitu, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga, wamewasha moto gari la Afisa Kilimo wa Kata ya Tongwe jirani, aina ya Suzuki, na kumjeruhi. Wanaoshutumu afisa huyo wanadai kwamba ameshindwa kusimamia maslahi ya wananchi, hivyo kuruhusu wawekezaji...
  12. A

    DOKEZO TASAF kwa sasa haimnufaishi mlengwa. Serikali chunguzeni

    Natambua kuwa nia ya serikali kuanzisha mfuko huu ilikuwa ni kuwapunguzia makali ya umasikini baadhi ya wananchi wasio na vipato kabisa. Kundi hili ni la wazee, yatima, walemavu, nk. Utafiti wangu mdogo umenionesha kuwa TASAF imekuwa ikinufaisha zaid wasimamizi/watendaji wa mfuko kuliko...
  13. Mgeni wa Jiji

    Nadhani serikali imeshindwa kujua itumie vipi mechi za Yanga na Simba weekend hii kujitangaza kiutalii

    Salamu Wakuu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa. Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu...
  14. M

    Naomba kujuzwa maslahi ya wafanyakazi NHIF

    Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF, 1. Mishahara, 2. Mikopo, 3. Safari za nje, 4. Posho za vikao, ufuatiliaji,
  15. Webabu

    Bandari anayojenga Marekani Gaza si ya misaada, bali ni bandari ya kifo cha Palestina pamoja na maslahi ya Marekani na ulinzi wa Israel

    Wanaharakati wanaopigania haki za wapalestina wametoa uchambuzi ukifafanua juu ya uharamu wa bandari inayoendelea kujengwa na Marekani eneo la Gaza kwa kisingizio cha kupeleka misaada. Mshangano wa mwanzo wa wanaharakati hao ni kuwa Marekani imepeleka malori na mashine nzito za ujenzi zipatazo...
  16. Mjanja M1

    Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

    Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT. Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao. ✍️Mjanja M1
  17. K

    Maslahi duni kwenye viwanda

    Sera mbovu za uwekezaji na viwanda nchini hili huchangia mtu kusaka vibali kwa gharama kubwa akipata anajitajirisha mwenyewe na fedha nyingi wanazochuma kwetu wanazipeleka kwao kwetu maslahi yanabaki duni Ni bora sera za viwanda zibadilishwe na Serikali itoe support kwa viwanda vya ndani, kuna...
  18. Kiboko ya Jiwe

    Serikali kama imeshindwa Kuweka mishahara ya watumishi katika usawa ni vizuri ipunguze idadi ya watumishi

    Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri. Kuna mashirika ya umma Kuna taasisi za umma Kuna wakala wa serikali. Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi. Kuna bodi mbalimbali Kuna tume mbalimbali...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi. Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni...
Back
Top Bottom