Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
Tume ya maboresho ya mfumo wa haki jinai ikiwa imemaliza kazi yake na ripoti yake kuwasilishwa Kwa Mhe. Rais Kwa hakika mapendekezo yake kama yakifanyiwa kazi, mfumo wa upatikanaji wa haki Tanzania utaboreka na kuimarika. Na niseme kwamba maboresho hayo ni sawa na kuifumua katiba iliyopo na...
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU...
Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetanabaisha wazi kuwa mamlaka ya kutawala taifa hili yatatoka kwa wananchi. Na mamlaka hayo yatawekwa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Hii inamaanisha kuwa kumbe wananchi huwa ndio watawala lakini kwa kuweka wawakilishi kwa njia ya kura.
Lakini kama taifa...
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.