tasaf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    SoC04 Tanzania we Want: TASAF for the benefit of the Society

    The Tanzanian government has received 50.13 billion shillings to fund the Second Phase PSSN II Program for the Survival of Poor Households, which is managed by the Community Development Fund TASAF. The Swiss Government has donated more than 45.09 billion shillings, while the Irish Government has...
  2. BARD AI

    Naibu Spika: Kuna watumishi wa TASAF bado wanaingiza ndugu zao kwenye Malipo

    DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo. Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  3. A

    DOKEZO TASAF kwa sasa haimnufaishi mlengwa. Serikali chunguzeni

    Natambua kuwa nia ya serikali kuanzisha mfuko huu ilikuwa ni kuwapunguzia makali ya umasikini baadhi ya wananchi wasio na vipato kabisa. Kundi hili ni la wazee, yatima, walemavu, nk. Utafiti wangu mdogo umenionesha kuwa TASAF imekuwa ikinufaisha zaid wasimamizi/watendaji wa mfuko kuliko...
  4. Trainee

    Barabara za TASAF ni kuwatesa wananchi halafu mbona hazina usimamizi mzuri kutoka kwa wataalamu wa barabara?

    Habari... Kuna ule utaratibu wa serikali kutoa fedha kwa kaya zisizojiweza maarufu kama fedha za TASAF. Sasa pesa hizo kuanzia mwaka jana nimeona serikali imekuja na utaratibu mzuri ila usimamizi wake utaratibu huu si mzuri kabisa Nimeona vijijini wananchi kuanzia mwaka jana waliambiwa wachimbe...
  5. B

    Ridhiwan Kikwete: Serikali kutowafumbia macho wanaofuja fedha za TASAF

    Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kusimamia mradi huo. Serikali imeeleza haya Bungeni wakati wakijibu...
  6. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  7. Erythrocyte

    Huu ndio utafiti wa TASAF kuhusu maisha ya Watanzania

    Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana ! Kailoga bila huruma kabisa !
  8. Bushmamy

    Wanaotumwa kuwachukulia fedha za TASAF wazee na wasiojiweza wanawaibia

    Imeibainika kuwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani wanaowachakulia fedha za mfuko wa TASAF wahusika wa makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Vipofu, wazee nk. ambao hawawezi kufuata wenyewe fedha za mfuko huo, wamekuwa wakiibiwa kwa kupewa fedha Pungufu au kutopewa kabisa...
  9. A

    Nikiweka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali, nisaidieni

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
  10. Jamii Opportunities

    Executive Director (ED) at TASAF October, 2023

    Position: Executive Director (ED) Appointing Authority: The President of the United Republic of Tanzania Reporting Relationship: National Steering Committee (NSC) Duration of Contract: Terms of Contract is two (2) years renewable on the basis of performance. Duty Station: TASAF Head Office –...
  11. B

    Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
  12. JanguKamaJangu

    Waziri Simbachawene ashtuka, aagiza uchunguzi fedha za TASAF

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kushoto) akielekea kukagua moja ya jengo kati ya majengo matatu ya upasuaji, afya ya uzazi na mahabara yanayojengwa na Tasaf katika Kituo cha Afya Budushi wilayani Kwimba. Picha na Saada...
  13. Bushmamy

    DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  14. Mwachiluwi

    Ushahidi kuhusu TASAF voice

    Juzi nilileta malamiko kuhusu tafas kuwakandamiza wananchi embu niambieni ninyi mnaweza kuishi kwa 40000 huu ni utapel unaofanywa Bado taasisi zingine next week nakuja nazo Sikilizq mpaka mwisho
  15. Mwachiluwi

    TASAF walengwa hawafikiwi na misaada kwanini?

    Hellow Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda kupokea fedha za TASAF alitakiwa kupokea 30000 lakini kakatwa pesa kabakia 12000 je hii ni sawa...
  16. Roving Journalist

    TASAF yasema dirisha la malipo kwa wanufaika limefunguliwa kuanzia Jumatatu Juni 5, 2023

    Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua. Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
  17. Magufuli 05

    TASAF inasaidia nini? Hili ni chaka la wapigaji

    Nionavyo Mimi, Kweli mpango ulikuwa ni mzuri kusaidia kaya masikini. Lakini kwa Hali inavyoendelea kama kuna pesa zimeliwa nchi hii basi ni hizi za TASAF. Zimeliwa kweli. Lakini hapa unamsaidiaje mwananchi kwa kumpa elfu hamsini? Hapa ni kutumia umaskini na ukosefu wa elimu ya mtu kama fursa...
  18. K

    DOKEZO Tanga: Wazee wanufaika wa TASAF wanafanyishwa kazi ndio wanapewa hela. Hivi ndivyo Serikali ilivyoelekeza?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana. Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo. Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
  19. NAMDORY

    Ni yapi maudhui Mfuko ya TASAF?

    Ndugu zangu naomba elimu ya malengo ya mfuko wa TASAF, maana hapa kijijini kwetu Nanyamba Mkumbwanana, hii hela hupewa vijana na kuambiwa wafukue barabara. Je, ndio malengo ya TASAF? Naomba elimu kidogo, na kama sioni maudhui ya mfuko huo, tunaomba tufanyeje ili zitumike kwa malengo kusudiwa.
  20. Bushmamy

    DOKEZO Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa mwaka huu Januari hadi sasa Mei 2023. Ndani ya hiyo kata hiyo kuna Kijiji kadhaa vikiwemo Narumu...
Back
Top Bottom