Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

  • Sticky
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja...
14 Reactions
105 Replies
7K Views
Upvote 19
  • Sticky
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
16 Reactions
38 Replies
4K Views
Upvote 21
UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni...
0 Reactions
4 Replies
103 Views
Upvote 3
Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo...
0 Reactions
18 Replies
182 Views
Upvote 1
Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla. Uongozi ni kitu...
0 Reactions
0 Replies
10 Views
Upvote 0
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
10 Reactions
49 Replies
748 Views
Upvote 10
Eneo la mada Miundombinu ya Usalama barabarani. Mada: UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI. Uwepo wa...
0 Reactions
2 Replies
56 Views
Upvote 2
UTANGULIZI Miaka ya karibuni kumekua na kampeni na kiu kubwa ya wananchi, Serikali na Sekta binafsi kutumia TEHAMA kama njia kuu ya kuwezesha huduma kirahisi na kwa haraka, ila changamoto kubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Upvote 2
Kwa upekee kabisa nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa JF kwa kutuletea jukwaa hili. Nirudi kwenye mada tajwa hapo juu kuhusu Serikali kutoa mkopo kwa wahitimu wa vyuo vikuu...
2 Reactions
3 Replies
84 Views
Upvote 5
Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na...
0 Reactions
3 Replies
57 Views
Upvote 2
Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya...
57 Reactions
92 Replies
2K Views
Upvote 87
UTANGULIZI. NB: picha ya kibonzo kwa hisani ya mtandao mchoraji Marco Tibasam 📌Tanzania ina historia ya mafanikio katika michezo mbalimbali kama vile riadha, masumbwi,soka, na mengineyo. Ingawa...
3 Reactions
6 Replies
97 Views
Upvote 5
"Ask not what your country can do for you,but what you can do for your country " yaani "Usiulize nchi yako inaweza kukufanyia nini,ila jiulize wewe unaweza kuifanyia nini nchi yako" Hiko ni...
1 Reactions
2 Replies
53 Views
Upvote 2
Ubunifu katika Sekta ya Elimu kwa Uwezeshaji wa Kufikia Utoaji wa Huduma Bora kwa Jamii kwa Awamu Ili kuboresha elimu na kuhakikisha kila mtu anapata fursa sawa ya elimu bora, ninapendekeza...
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Upvote 2
Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya...
0 Reactions
2 Replies
44 Views
Upvote 2
Kuunda Tanzania bora zaidi katika miaka ijayo kutafuta mbinu madhubuti na mawazo bunifu ya kutekelezeka katika nyanja mbalimbali. Kupitia mipango ya miaka 5, 10, 15, na 25, tunaweza kuona...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Upvote 1
Imekua ni dhana iliyoko kwenye vichwa vya watu wengi hasa watumishi, wapya na wengine wazoefu kuwa kufanya kazi kwenye kata ni jambo gumu sana kuweza kulitekeleza, na hiyo inathibitika kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
57 Views
Upvote 2
🇹🇿 Tanzania viongozi na taasisi za serikali bado ushirikiano hakuna baadhi ya taasisi aziwasiliani na taasisi zingine katika kufanya maendeleo unakuta kila taasisi mbabe kwakuwa kila mtu...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Upvote 1
Imekuwa ni jambo la kawaida kila mara zifanyikapo sherehe za kitaifa (Sherehe za Uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar) kuambatana na maonyesho ya kijeshi. Maonyesho haya yamekua yakionyesha...
6 Reactions
22 Replies
396 Views
Upvote 4
Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine...
1 Reactions
4 Replies
231 Views
Upvote 4
Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Nikienda kwenye mada...
3 Reactions
15 Replies
310 Views
Upvote 13
Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha...
0 Reactions
1 Replies
46 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom