Siku akitokea Mzanzibar mwenye hila mbaya akawa Rais wa Tanzania, nani atalinda maslahi ya Tanganyika?

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,092
1,923
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile

Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na kikatiba akawa anatapanya rasilimali za Tanganyika kwa maslahi yake au kwa maslahi ya kikundi fulani kilichopo Zanzibar jiulize nani wa kutetea au kuzilinda mali za Tanganyika?

Zanzibar wana serikali yao inayolinda mali na rasilimali za Zanzibar je Mali za Tanganyika zinalindwa na nani?
 
Tanzania People defense force (TPDF)
 
Kimsingi Waziri Mkuu na Baraza la mawaziri ndio wenye jukumuu hilo na kwenye Chama ni Makamu Mwenyekiti Bara na Karibu Mkuu wa Chama. Lakini tatizo la sasa hivi Kwa Baraza la mawaziri, wanaweza kuwa chawa WA Raisi, hivyo kushindwa kuifanya hiyo KAZI ipasavyo. Hivyo kubaki Waziri Mkuu pekee yake, lakini akiwa jasiri anaweza kulitumia Bunge na kueleza sababu zake za kujiuzulu.
Kwenye Chama Makamu Mwenyekiti Bara na Karibu Mkuu wanatakiwa kumkumbusha Raisi , Sera ya chama
 
Unataka kusema kama ilivyotokea awamu hii?
 
Kipo chombo ambacho kipo Juu ya rais, hakionekani, chombo hicho kipo thabiti, hakuna aliyewahi kukiudhi au kupitiliza mipaka, kikafanya kazi yake, ukitaka kukiona utendaji wake subiri muungano uguswe kwa dhamira mbaya!
 
Kwahiyo wewe unaona huyu bado hajatumaliza watanganyika!? Yani unaona Yuko poa!?
Aisee!!
 
Chato na Msoga zimepunzika
Zanzibar inatrend.

Chadema ukanda,ukabila,udini unaitafuna sana kiasi cha kujenga hoja zao kupitia misingi hiyo.

Kanda ya ziwa wameshachafua Kwa kuwatukana na kuwabeza Wasukuma. Huko ule umaarufu wa CDM umeshuka hususani kanda yote ya ziwa.

Pwani pia wameshafua Kwa kuwaita wavaa kobazi. Watu hawaiamini CDM Kwa misingi ya dini. Na hili lilionekana mapema.

Zanzibar ndio sasa wanachafua.

Nyanda za juu kusini ipo siku nao wataipata muda si mrefu as long as akipatikana viongozi

Mbowe dhibiti huu uhuni wa akina Lissu na baadhi ya wanachadema
 
Kimsingi Waziri Mkuu na Baraza la mawaziri ndio wenye jukumuu hilo na kwenye Chama ni Makamu Mwenyekiti Bara na Karibu Mkuu wa Chama. Lakini tatizo la sasa hivi Kwa Baraza la mawaziri, wanaweza kuwa chawa WA Raisi, hivyo kushindwa kuifanya hiyo KAZI ipasavyo. Hivyo kubaki Waziri Mkuu pekee yake, lakini akiwa jasiri anaweza kulitumia Bunge na kueleza sababu zake za kujiuzulu.
Kwenye Chama Makamu Mwenyekiti Bara na Karibu Mkuu wanatakiwa kumkumbusha Raisi , Sera ya chama
Kwa madaraka na mamlaka aliyonayo Raissidhani Kama kuna mtu wa kumchunguza akiwa anatapanya mali za Tanganyika na Waziri mkuu hawezi,rejea kauli ya Ndugai na matokeo yake
 
Kipo chombo ambacho kipo Juu ya rais, hakionekani, chombo hicho kipo thabiti, hakuna aliyewahi kukiudhi au kupitiliza mipaka, kikafanya kazi yake, ukitaka kukiona utendaji wake subiri muungano uguswe kwa dhamira mbaya!
Icho chombo ni karai, bakuli au ndoo....? Hakina jina?
 
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile

Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na kikatiba akawa anatapanya rasilimali za Tanganyika kwa maslahi yake au kwa maslahi ya kikundi fulani kilichopo Zanzibar jiulize nani wa kutetea au kuzilinda mali za Tanganyika?

Zanzibar wana serikali yao inayolinda mali na rasilimali za Zanzibar je Mali za Tanganyika zinalindwa na nani?
Acha mzanzibar siku hizi nchi Zina intelligence unity zilizo sheheni vichwa. Nchi jirani kama Kenya au ruwanda au nchi yoyote inaweza ikamgiza mtu wao akawa raisi wa tanzania. Na afanikisha malengo walio muweka na asishitakiwe. Ukizigatia unity ya intelligence imesukwa kisiasa zaidi badala ya kitaaluma.
 
Back
Top Bottom