Siku akitokea Mzanzibar mwenye hila mbaya akawa Rais wa Tanzania, nani atalinda maslahi ya Tanganyika?

Kwa madaraka na mamlaka aliyonayo Raissidhani Kama kuna mtu wa kumchunguza akiwa anatapanya mali za Tanganyika na Waziri mkuu hawezi,rejea kauli ya Ndugai na matokeo yake
Wabunge wengi wa Muungano wanatoka Tanganyika na Waziri Mkuu anatoka Tanganyika, wakimueeka MTU Kati ni aidha akubaliane nao au avunje Serikali/Bunge, lakini tatizo letu siku hizi ni siasa za uchawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom