Habari ya kazi wakuu!!
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja.
Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili.
Nimetonywa hapa kuwa katiba...
Walimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe na jua pasipo faida.
Sikukuu ya Mei Mosi, inayojulikana pia kama Siku ya Wafanyakazi Duniani, inaadhimishwa kwa kusherehekea mchango wa wafanyakazi katika kujenga jamii na kuboresha hali zao za kazi.
Sikukuu hii ina historia ndefu ya kutetea haki za wafanyakazi na kuimarisha mazingira ya kufanya kazi, na imekuwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda...
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.
Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.
Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.
Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu?
Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
SOLIDARITY!
Mei Mosi, au Siku ya Wafanyakazi Duniani, ilianza kama harakati ya kutetea haki za wafanyakazi katika karne ya 19.
Mnamo mwaka 1886, maandamano ya wafanyakazi nchini Marekani yalifanyika kudai saa za kazi zisizozidi masaa 8 kwa siku. Tukio hili linajulikana kama "Haymarket affair"...
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
===
Pia soma:
Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio.
Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa Zanzibar...
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS
Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
Wanajamii habari za majukumu:
Kesho jumatano ya tarehe 01-05-2024 pale Arusha katika viwanja vya sheikh Abeid Amani Karume kutafanyika Sherehe za wafanyakazi Wote wa Umma na binafsi. Sector zote.
Kama ilivyo Ada Mgeni rasmi ni Mwajili mkuu wa SERIKALI Mh. Dr. Samia Suluhu Hasani, Raisi wa...
Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya kila siku kwa kila Mtanzania. Bidhaa zenye kuzalisha faida za thamani ya mamilioni ya shilingi na...
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya...
Toka nmepata kujitambua kila mwaka naona katika siku ya wafanyakazi dunia walumu hua ndo vimbelembele sana kuliko wafanyakazi wa kada nyingine mpaka ikafika wakati najiuliza hivi mei mosi ni siku ya walimu au nikwa wafanyakazi wote.
Ushauri kwa walimu waliopo field na sisi watarajiwa tuache...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2023 mkoani Morogoro.
Rais amewasili uwanjani akiambatana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson pamoja na Viongozi wengine wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.