Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
UTANGULIZI
afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku?
Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;
1. Mikel Arteta - Arsenal
2. Unai Emery - Aston Villa
3. Pep Guardiola - Man City
4. Andoni Iraola - Bournemouth
5. Jurgen Klopp - Liverpool
Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo zitakuwa hazina manufaa kwetu.
Nishati zilizopo:
Kwenye kila kaya aina ya Nishati inayotumiwa...
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .
Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah basi hakuna namna nyengine ila ni kuendeleza vita.
Walichokubali Hamas ni :
1 .Kuwepo usitishwaji...
Naam kilicho bora na imara hujengwa katika misingi iliyo bora na imara
Tanzania tunayoitaka iko mikononi kwa wazee ambapo yapaswa kukabidhiwa kwa vijana na watoto, maarifa na ujuzi ni vitu muhimu vya kutuvusha kuifikia Tanzania tunayoitaka.
Elimu itolewayo mashuleni izidi kuboreshwa isiishie...
Kinavyosema kipengele namba 13 cha kanuni namba 11 ya Ligi Kuu toleo la mwaka 2023 kuhusu tuzo ya mfungaji bora kwenye NBC Premier League.
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, unaiona ikienda kwa nani msimu huu?
Imeandaliwa na Anoth Paul, mhariri ni Amosi Masoko
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama
Biashara
1. Dar es Salaam
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
Biashara ina points 9...
Habari mwanajukwaa la michezo,
Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana.
Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana.
1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa yamekua yakiongezeka kwa kasi siku baada ya siku. Ikiwa yote hayo yanahitaji mazingira pamoja na rasilimali zilizopo katika mazingira husika, uhusiano mkubwa uliopo baina ya maendeleo kwa ujumla na mazingira ni mkubwa sana kiasi kwamba ni lazima tuweze...
Napendekeza yafuatayo katika sekta ya afya ili kuleta manufaa kwa Watanzania wote miaka ijayo.
1. Kuhakikisha vituo vyote vya afya vinakuwa na watoa huduma toshelevu kwa ngazi zote ili wahitaji wawe wanapata huduma ndani ya wakati.
2. Kujengwa kwa vituo vya afya vinavyokidhi mahitaji ya jamii...
Siyo mkenya wala sizisijui sana Siasa za Kenya.
Lakini Leo wakati namsikiliza Rais William Ruto akizungumzia mfuko wa Jimbo (CDF) nimepata hisia kwamba yeye ni bora zaidi kuliko labda Raila Odinga kama angekuwa Rais.
Uwezo wake wa kusema ukweli mbele ya wabunge nimeupenda sana.
Anajieleza...
Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi ambao ni Waadilifu na wachapa kazi hawataki kuingia katika Siasa na wanaona kama Siasa si kazi yao...
TANZANIA TUITAKAYO INAJENGWA NA MFUMO WA ELIMU WENYE TIJA.
ELIMU: MSINGI, KING’AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE.
Nchini Tanzania, suala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, Wala kuelekeza nguvu kubwa katika kunadi sera za elimu pekee, bali...
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua
Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani.
Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.