makuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. henrymimbo

    SoC04 Afya ya mtoto pindi anazaliwa ni bora zaidi kwa makuzi na malezi ya mtoto hii itasaidia kuleta kizazi bora hapa nchini

    UTANGULIZI afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
  2. Jumanne Mwita

    Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo. Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
  3. Roving Journalist

    RPC Kuzaga: Malezi Bora na Elimu ya Makuzi vinasaidia kuwajenga Watoto kujitambua na kujitathimini

    Wazazi, Walezi na Jamii wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utoaji wa malezi bora na elimu ya makuzi kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kujitambua, kujithamini na kujiepusha na uhalifu ikiwemo ukatili wa kijinsia. Rai hiyo imetolewa Desemba 27, 2023 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  4. McCollum

    Makuzi ya watoto yanaharibiwa na Teknolojia kama haitasimamiwa na wazazi!

    Habari za Jumapili, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Siku ya leo naomba nijadili nanyi au kiwasogezea mada hii "Makuzi ya watoto yanaharibiwa na Teknolojia kama haitasimamiwa na wazazi!" Awali ya yote nipende kuanza kwa kusema, maendeleo ya Sayansi na Teknolojia ya sasa yanafanya wananchi...
  5. J

    MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  6. BigTall

    Upendeleo wa kijinsia kwenye makuzi ya watoto unachangia tabia ya wanawake kufanyiwa ukatili

    Katika maisha yetu ya kawaida hasa sisi watu wa kipato cha chini, nasema hivyo kwa kuwa nimetokea kwene mazingira hayo, japokuwa najua hawa wale wa hadhi ya juu nao wanaweza kuwa wanahusika. Kibongobongo maisha kwenye familia nyingi wazazi wengi na wale wamekuwa na tabia ya kutengeneza...
  7. mama D

    Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

    Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀 Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
  8. Miss Zomboko

    Je, wajua umuhimu wa lishe bora katika makuzi ya watoto?

    Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto. Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
  9. Liverpool VPN

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  10. Miss Natafuta

    Naomba ushauri jinsi ya kuongea na binti anayekua

    Damu ni nzito kuliko maji leo nimeumia sana. Kuna Kaka yangu aliachana na mkewe kitambo sana mtoto akiwa na 2 yrs, yule Mama akamuacha mtoto. Mtoto kalelewa na baba yake since then Wala bro hajaoa tena masikini sijui alipigwa tukio gani. Changamoto binti amekuwa ana 12 yrs sasa, nyumbani kwao...
  11. J

    SoC01 Makuzi ya watoto ni wajibu wa jamii nzima

    Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupunguza ukatili na unyanyasaji wa watoto. Kwa...
  12. A

    Umuhimu wa michezo katika makuzi ya mtoto

    Michezo humfunza mtoto ubunifu, kujenga ushirikiano na wenzake, mawasiliano nk. Hivi vyote ni muhimu katka maisha ya baadae ya mtoto. Katika michezo watoto wanapata nafasi ya kupanga sheria na taratibu ili wote washiriki. Hijifunza kushirikiana katika vifaa vyao vya michezo. Watoto...
  13. GENTAMYCINE

    Kwanini Makuzi ya Mtoto wa Kiafrika 100% ni Bakora na Adhabu, ila ya Mzungu ni 100% Maelekezo na Ushauri?

    Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi? Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa...
Back
Top Bottom