mafanikio

  1. P.J

    VITABU BORA VYENYE MAFANIKIO ZAIDI KATIKA SUALA LA ELIMU HASA MASOMO YA SAYANSI

    Ni chimbo lilo sheheni materials NOTES nzuri kweli kweli za masomo ya sayansi Physics , Chemistry, Biology & Mathematics. Hizi ni NOTES adimu sana , hazikupi shida mwalimu pamoja na mwanafunzi un apokuwa unazitumia Humfanya mwanafunzi aone raha ya kujisomea mwenyewe . Chimbo lake ni Adimu...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Maandamano ya vyama vya upinzani ndio mafanikio ya kipekee kabisa ya Awamu ya 6 ya Rais Samia

    Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
  3. K

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  4. La3

    SoC04 Kujiajiri kwa mafanikio makubwa kunategemea shauku ya mtu mwenyewe kupenda kujiajiri kutoka ndani ya moyo wake

    Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza. Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa. Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi) Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri. Sasa...
  5. Kaka yake shetani

    Mafanikio hugeuka chuki

    Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki. Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo. USIONE...
  6. Mkwawe

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?
  7. Makirita Amani

    TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
  8. DR HAYA LAND

    MAFANIKIO huwa yapo ila ambacho hakipo ni gharama za kuyalipaia hayo mafanikio

    Kila MTU anahitaji mafanikio Ila ukweli mafanikio yapo sehemu yoyote ile unaweza kuyapata Ila unachohitaji ni kuhakikisha unalipa gharama. Kulipa gharama - ni kujikita na kuamua kulifanya jambo lolote unalokiamini kwa kujitoa kwa mwendelezo . (consistency) Hivyo utofauti wa aliyeshindwa...
  9. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia

    Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia Na Alpha Isaya Nuhu Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
  10. Kaka yake shetani

    Wazo, maarifa, maono, uthubutu na mafanikio unageuka kuwa chuki mbele ya wanaokuzunguka

    Hapa tanzania kuna kasoro inaweza kuwa ni vinasaba yetu tuliyopewa na Mungu ukilinganisha na mataifa mengine na tabia zao. Kwa nini watu wenye maono, wazo, maarifa, uthubutu na mafanikio yakijitokeza basi nafsi zetu zinabadilika na kuanza kumchukia gafla bila sababu. pili tabia zetu tunaweza...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Mafanikio ya TUCTA ni kugawa Tshirt, utendaji ni hopeless

    Kesho ni Mai Mosi ambapo kimsingi unategemea kusikia maazimio mazito kutoka kwa TUCTA juu ya mambo ya msingi katika kusimamia maslami mapana ya wanachama wake. Wanachama wao wamekuwa na changamoto kadhaa zisizo patiwa majibu na serikali. Moja ya kilio kikubwa ikiwa na kikokotoo cha kifisadi...
  12. mwehu ndama

    Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
  13. Majok majok

    Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

    Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni mafanikio ya kupigiwa mfano kabisa! Ukiongeza Yale mafanikio ya wasap channel pamoja na ngao ya...
  14. Dr Matola PhD

    Kwa mafanikio inayopata Simba Mangungu anafaa sana Simba, asibughuziwe. Tujihepushe na maadui wa Simba.

    Simba ndio timu pekee Tanzania mpaka sasa yenye mafanikio na vikombe kabatini. Sasa kelele za Mangungu na Try again zinatoka wapi? Ukisikia hatumtaki Mangungu na Try again basi ujuwe hao ni Yanga. Wana Simba tushikamane na viongozi wetu hawa ni lulu, jana Saido Mchezaji bora, Lakredi kipa...
  15. Themoneyhollic

    Biashara ya Forex kwa Kiswahili Free course 2024

    ✨ Your Trading Journey Begins Here ✨ Are you ready to dive into the world of Forex and come out a trading champ? 🏆 BIG BOYS CLUB INVESTMENTS is offering a FREE Forex course that you can't afford to miss! https://youtu.be/Em0384gm6d8?si=_i-49mHkNqS8e7fO 📈 Learn the A-Z of Forex trading - from...
  16. S

    Mafanikio ya Mataifa ya China, Urusi na Iran ndio chanzo cha mivutano ya kisiasa baina ya nchi za Magharibi

    Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
  17. Lycaon pictus

    Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
  18. L

    Hadithi ya mafanikio ya Huawei ni muhimu katika kurekebisha mandhari ya uchumi wa dunia

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
  19. Eli Cohen

    Kama umeshapita kwa wachungaji na waganga ukiambatanisha sadaka lukuki bila mafanikio, inaweza kuwa wewe binafsi ndio msaada wako mwenyewe

    Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo. Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF...
Back
Top Bottom