Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni
1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.
Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.
Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
Kufanya hivyo ni kuhujumu na kukwamisha kwa makusudi jitihada kabambe, dhamira na nia njema ya ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kuipaisha Tanzania kimaendeleo.
Kumbukeni maneno haya ya busara aliyowahi kuyasema hayati Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Alli Hassan...
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi...
Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania..
Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
Kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi...
Uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara...
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.
Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
Na Otieno Peter Baraka
Sote tunajua kuwa ilikuwa ni ndoto ya Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kwa kuwa na viwanda vidogo,vya kati na vikubwa,Hayatti Dr John Joseph Pombe Magufuli aliinadi sana sera hii na tulivutiwa nayo kwani tuliamini kuwa...
Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa...
Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya.
Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?
Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300
Umeme Giza kama enzi za Richmond,
Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika...
Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO"
Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Ngurdoto pamoja na mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa...
Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi, hotel nyingi ziligeuzwa hosteli za kulala watoto wa shule, badala ya kuingiza mamia ya madola.
Ngurdoto imerudi.
JPM alihakikisha anaziua hotel nyingine sehemu mbalimbali nchini, lakini akawa bize kujenga pagale la nyota tano kwao chato
===========...
Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano.
Madeleka ameeleza kuwa ana...
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.
Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha...
Wakuu Salam,
Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.
Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.
Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu.
Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua.
Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.