hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Makirita Amani

    Vunja Imani Hizi Potofu Sita (6) Kama Unataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako.

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake. Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa, bila ya kujali unaanzia wapi, uwezo wa kujenga utajiri tayari unao. Kama unashangaa huo uwezo uko...
  2. Eli Cohen

    Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
  3. S

    Uvukaji wa border ya Namanga / Nairobi wengi wanaotumia hizi Noah wanamia njia haramu / Mizigo ya Magendo

    Habari, Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali. Nina video ya Mzee mmoja hapa alichukua Rushwa jioni hii ila nimeingiwa na huruma huyu Mzee asije anapoteza kiinua mgongo chake...
  4. Mad Max

    Hizi App za mikopo online ni mkombozi wa wanyonge au nyonya damu?

    Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe. Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
  5. curie

    Ule msemo wa kushikiria shilingi bunge mnausikia siku hizi?

    Mabunge ya bajeti yalikuwa bamba msemo wa nashikiria shilingi mpaka waziri akome ..Je sasa vipi mambo yanaenda swafi ?
  6. all about

    Namna ya kupata furaha ya kudumu

    ☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️ 1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊 2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️ 3. Furaha si kuhusu kuwa...
  7. kagombe

    Msaada wa tafsiri za ndoto hizi

    Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi, Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa...
  8. Tlaatlaah

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi. Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
  9. Pdidy

    Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

    Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa?? Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu. Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee. Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
  10. ndege JOHN

    Kama Rushwa nchini Tanzania isingekuwa kubwa basi tungejua hizi kesi 3 zimeishaje

    1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair.
  11. tpaul

    Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom) Kuna Mapepo ya UHARIBIFU...
  12. matunduizi

    Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    1: Mungu ananguvu kuliko shetani. 2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza. 3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi 4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika...
  13. tpaul

    Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
  14. Sangatitti

    Umejifunza nini kuhusu hizi nyumba mbili kati ya Malisa na Tulia?

    Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa . Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
  15. Eli Cohen

    Ndugu nisaidieni kujua aina hizi za fence ya nyumba

    Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi. Karibuni wenye ueledi juu ya hili
  16. SteveMollel

    Unazikumbuka hizi movies? Ulikuwa wapi?

    1. BABY'S DAY OUT Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake. Bahati mbaya mtoto anakuja kuwatoroka na kuzamia ndani ya jiji la Chicago. Sasa mabwana hawa watatu wanabakiwa...
  17. M

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔 1.Wanaume/wanawake wote hawafai. 2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji. 3.Nawachukia sana wanaume/wanawake 4.Hata wewe ni wale wale tu. 5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume. KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
  18. Mhafidhina07

    Kwanini msafara wa Rais unasafiri kwa spidi kubwa na nchi nyingine wapo kama sisi?

    Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa mno, hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari ya mbagala rangi tatu? Nchi nyingine wapo na mfumo huu?
  19. Nsanzagee

    Kutaka kuzuia mafuriko ya Tsunami kwa udongo ni kushindana na kisichowezekana, kamati ya muungano iunganushe na hoja za Lissu

    Nyakati huja na nyakati hupita Na nyakati ambazo huja na kupita, zingine huja kwa namna yake na changamoto zake, na zinapokuja, huja ili zibadilishe kitu na ama kuharibu kabisa, Kikawaida, Ni mjinga tu ambaye hudhani Dunia haina Changamoto na kwamba anaweza kukaa maisha yake yote bila kupitia...
Back
Top Bottom