Mfumo wa Elimu tulionao hapa Afrika hatukuutengeneza sisi wenyewe bali maadui zetu, hivyo kamwe usitegemee adui yako akupe elimu nzuri. Akupe elimu nzuri ili umpindue? Wazungu walipokuja kwa mara ya kwanza hapa Afrika, walitukuta tuna mfumo wa elimu wa ujuzi na badala yake wakauua na kutupa...
“Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.”
“Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
Huu ndio muonekano wa Barabara ya kutoka Tabora Mjini kwenda kwenye Kata za Igalula, Goweko, Nsololo na Nyahua iliyo Wilaya jirani ya Sikonge.
Barabara hii ndio kama kiungo kikubwa cha Huduma za Jamii kwa maeneo hayo lakini kwa sasa Wananchi wanapata adha ya usafiri kutokana na ubovu wa...
Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
Habari wadau.
Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa!
Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio kutupitishia magreda! Maana Mvua zikija zinasomba tena!
Nasisitiza tena. 1. Kuna ile njia Goba kulangwa...
Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa??
Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu.
Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee.
Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
"Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe?
Ukweli ni...
Mwishoni mwa mwezi Aprili nimeandika hapa malalamiko yangu kuhusu changamoto za utoaji huduma katika ofisi za Bima ya afya ya Taifa (Tawi la Ilala).
Hii changamoto imekwenda mbali zaidi na sababu kubwa ikiwa ni utashi wenye mashaka kwa watoa huduma walionipatia huduma.
Baada ya kulalamika...
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.
Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kushindwa kuweka vipaumbele vya ujenzi wa barabara za pembezoni na hasa katika...
Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red.
Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Mchele Unaoingizwa nchini Rwanda walaumiwa kwa kukosa viwango vilivyo andikwa ktk vifungashio . ..
Mwishoni mwa mwezi uliopita, habari za utapeli na uaminifu katika mamia ya tani za mchele kutoka Tanzania hadi Rwanda zilitawala vichwa vya habari vya vyombo vya habari vya ndani.
Baadhi...
Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale.
Mara mwenye nyumba yupo hivi mwingine nae yupo vile Mara sehemu uliyohamia unakuta wapangaji wanatabia hii wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.