Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
Salaam wanafamilia,
Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
Habari wakuu,
Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za polisi 09/05/2024 mpaka leo bado sijafanikiwa Ku Signin kwenye huo mfumo.
Kila nikijaribu haufunguki, je kuna mtu amefanikiwa kukamilisha maombi?
Ushauri tafadhali maana hio ajira kwangu ni muhimu sana kulingana na Situation yangu ya maisha kwa sasa
Tanzania tuitakayo:
Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri!
Tunahitaji Tanzania ya vijana...
Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi?
Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
Utangulizi
Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
Ni haki ya kila Raia kufanya kazi mahala popote nchini ikiwa atakuwa ni mwenye kutimiza vigezo na masharti ya nafasi atakayoiomba, ila kwa sasa imekuwa ni tofauti sana katika hizi taasisi zinazotoa huduma hii ya kuajiri mfano mdogo jeshi la polisi wenyewe wanatambua kuwa Kwa post walizotoa kuna...
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
Magonjwa yasioambukizwa sio jambo geni masikioni mwetu, shuleni tumesoma baadhi ila kwa juu juu sana. Magonjwa yaliyopewa kipaumbele ni magonjwa ya kuambukiza, elimu yake imekua ikitolewa mpaka mtaani. Lakini kadiri ya siku zinavyosonga magonjwa yasioambukiza yamezidi kujinafasi na kua hatari...
Mfumo wa kutambua wasomi wote nchini
Katika miaka ijayo serikali chini ya wizara ajira na kazi itengeneze mfumo maalumu wa kutambua wasomi wa kada zote nchini na kwa hatua zote za elimu .mfumo huo utakao tumiwa na wasomi kuweka taarifa zao za elimu. Hii itamuwezesha muwajiri wowote nchini...
MFUMO UTAKAO SAIDIA KURIPOTI MATUKIO YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NCHINI
Kutokana na ongezeko kubwa la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia nchini serikali ianzishe mfumo maalumu utakaotumiwa na wananchi kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kma vile ubakaji.
Matukio hayo kwa siku za...
Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu.
Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
Heshima sana wana ukumbi,
Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo.
Katika tafakari yangu ta leo nimejikuta nikishangaa na kusikitika kwa wakati mmoja.
Muasisi wa mfumo Kristo alitengeneza mfumo...
Sony,
Lg,
Smart watch za Android…
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Kielelezo.1: Ajali kati ya basi la mwendo kasi na bodaboda . Chanzo: Daily News Digital
Mfumo unalenga kutatua changamoto zote za kiusalama na weledi barabarani kama vile;
Foleni
Rushwa.
Ajali.
MUUNDO NA UTENDAJI KAZI WA MFUMO.
Mfumo wa umeme.
Huusisha mifumo miwili ambayo ni Gridi na dharura...
JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA).
UTANGULIZI.
Wizara ya Maendeleo ya jamii,Jinsia,wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.