Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,472
- 5,680
Wakuu, hii Hali inanikuta Mimi tu au ni Kwa WATUMISHI wote. Kila nikijaribu kufungua hii web Huwa inagoma kabisa.
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.
Wakuu, hii Hali inanikuta Mimi tu au ni Kwa WATUMISHI wote..
Kila nikijaribu kufungua hii web Huwa inagoma kabisa..
Msaada tafadhali
Sahihi kabisa,afanye hivyo.Mimi sio mtumishi Ila click hapo Advanced kisha click proceed.
Nahisi hii inajitokeza browser inapohisi website unayojaribu kuingia haiko secured na inaweza kuhatarisha taarifa zako.
Ni issue ya browser hiyo
Nikweli Mfumo uko sawa ni browser yake imehisi hiyo site sio salama.Mfumo Uko sawa MkuuView attachment 2989816
Ninachohisi Amekosea Address Its ess.utumishi.go.tzNikweli Mfumo uko sawa ni browser yake imehisi hiyo site sio salama.
Mfumo hauna shida, ni browser yako inakuzuia kuingia kwenye Mfumo, soma hayo maelezo vizuri utaelewa.Ni kweli unasumbua,hata ukibonyeza adcancedView attachment 2989824View attachment 2989825