backend

Backend as a service (BaaS), also known as mobile backend as a service (MBaaS), is a service for providing web app and mobile app developers with a way to easily build a backend to their frontend applications. Features available include user management, push notifications, and integration with social networking services. These services are provided via the use of custom software development kits (SDKs) and application programming interfaces (APIs). BaaS is a relatively recent development in cloud computing, with most BaaS startups dating from 2011 or later.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Niliyoona leo kwenye mfumo wa ajira wa Polisi ni Kituko

    Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
  2. Cybergates

    New Backend: Python + Cpp , Kama security na speed ni kipaumbele chako

    Hasa kwa complex project Mda sasa nimekua nikitumia python kama primary PL Moja ya sida kubwa sana ni speed, aise python ni tabu sana Leo nimeanza kufanya project ambayo natumia python na cpp backend. Python natumia ku fanya API endpoints wakati c++ natumia kufanya business logic na...
  3. African Geek

    Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase). Changamoto kubwa ya node...
Back
Top Bottom