Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC.
Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
UMRI WAKO NI TABIA YAKO! HIVI NDIVYO ILIVYO, JIFUNZE TABIA 14 KATIKA UMRI TOFAUTI TOFAUTI.
Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti
1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa.
2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani.
3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi...
Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio.
Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
TOFAUTI KATI YA UHUSIANO NA MAHUSIANO
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
CHALINENEE
Kuna changamoto kubwa binadamu anaipata nanapojikuta katika uhusiano badala kuwa na mahusiano, kwa tafsiri isiyo rasmi, natumia lugha ya picha kuelezea mazingira ambayo unajikuta unampenda mtu kuliko...
Msingi wa India-Bhutan, taa ya ushirikiano kati ya nchi jirani za India na Bhutan, hivi karibuni umetangaza wito kwa mapendekezo kutoka kwa mashirika yanayotafuta msaada wa kifedha kwa miradi inayostawisha kubadilishana na kushirikiana kwa pande zote mbili.
Hatua hii inawakilisha fursa muhimu...
Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
Rais wa Afrika Kusini anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda leo, miezi baada ya nchi yake kutuma wanajeshi chini ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupambana na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda ilisema kuwa ziara ya...
Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia.
Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake....
====
OECD Secretary-General Mathias Cormann
Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize ties with Israel in exchange for Jerusalem’s approval of its request to join the Organization for...
Kwema Wakuu!
Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya.
Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu...
Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani).
Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua.
Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja...
Habari,
Dah leo nimekumbuka jambo ambalo lilishawahi nitokea miaka 7 nyuma sasa katika kuunganisha kwangu dot naona kuna kitu ambacho naweza kuwa sahihi ama la hasa kwenye swala la nyumba zetu hizi za kupanga na upatikanaji wetu wa ridhiki. Na hizi ndo historia ya nyumba nlizokaa kwa upande wa...
HISTORIA YA KRISHNA ILIKUWEPO MIAKA 2900 ILIYOPITA KABLA YA KRISTO
Uhindu na Ukristo una mambo mengi yanayofanana
Licha ya tofauti zao, uhindu na ukristo una mfanano mkubwa.
na hii ni muhimu sana katika suala la maisha na mafundisho ya watu wawili wakuu wa dini hizi za ulimwengu - kristo na...
Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa.
Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha uchumi wa kati na wazazi wangu si matajiri kama watu wengine walivyo. Ila wananipenda nashukuru...
Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
Wadau labda sifahamu ni sifa miongoni mwetu nchi za kiafrika au Tanzania tu?
Nimeona marais wetu especially kizazi kipya wanapewa au kutunukiwa sifa ya Udaktari.
Ni kwamba ukiwa Daktari unaweza kuwa rais au udaktari ni chaka la Urais au tumedharau cheo cha udaktari na mpaka kila mtu...
Habari za leo wakuu,
Nasikia watu mtaani wakisema
matumizi ya njia za uzazi wa
mpango kama kuweka vijiti
huchangia wanawake kuwa na
matumbo makubwa,
Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo
Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.