tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. Nguruka

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
  2. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
  3. Mohamed Said

    Ugeni wa TBC Safari Channel Maktaba

    UGENI WA TBC SAFARI CHANNEL MAKTABA Leo asubuhi Maktaba ilibahatika kupokea ugeni kutoka TBC Safari Channel watayarishaji na Warushaji wa vipindi vya historia. Walinifahamisha kuwa wapo katika kutafiti historia ya Abushiri bin Salim Al Harith ambae wao wamepita ulipokanyaga mguu wake Pangani na...
  4. Clark boots

    Kwanini hawa watangazaji wa TBC FM(zamani) walitumia kauli hizi kipindi wanaondoka TBC FM

    Wakuu,, Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba waliondoka TBC FM kwa kusema Wanaacha kazi Badala ya kusema kuwa wanahama kutoka TBC FM (zamani) kwenda...
  5. Mohamed Said

    Bakari Msuya TBC 1 na David Mayunga TBC Taifa Walipofika Maktaba Kunihoji Kuhusu Muungano

    TBC1 BAKARI MSUYA NA TBC TAIFA DAVID MAYUNGA WAMEPIGA HODI MAKTABA: KIPINDI CHA MUUNGANO Sikutegemea kuwa nitatembelewa kwa siku moja na vijana hawa watangazaji hodari kutoka TBC 1 Bakari a Msuya na TBC Taifa David Mayunga kunihoji kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964...
  6. Suley2019

    Rais Samia amuongeza Dkt. Rioba miaka miwili kuiongoza TBC

    Rais Samia Suluhu Hassan amemwongezea miaka miwili ya kuliongoza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Ayub Rioba Chacha. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema, "Mheshimiwa Waziri Mkuu niseme tu baada ya kazi kubwa...
  7. R

    Tuwaombee TBC wanapita wakati mgumu, rasilimali watu ina tatizo la fikra lililozalishwa uchawa

    TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza. Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...
  8. Informer

    TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  9. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi wake wengi wakijianzishia makampuni shindani na TBC. Ukichukua TIN za Watumishi utashangaa wao ndio...
  10. uhurumoja

    Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

    Title iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
  11. Jidu La Mabambasi

    TBC, mnaajiri mambumbumbu?

    Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni. Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio. Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini. Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
  12. Mjanja M1

    TBC wapo kwenye Mkutano wa Zari na Waandishi wa Habari!

    Inaweza ikawa sio jambo la kushangaza kwa nchi yetu, lakini ni kwanini kwenye mambo ya maana hawahudhurii mf. Mikutano ya Siasa na maandamano ya vyama vya upenzani, n.k? TELEVISION YA TAIFA MNAFELI PAKUBWA SANA!
  13. Wadiz

    DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

    Mwanakususa mwanakudeka ameanza kubwata na kusikika, yumkini kwa sasa aneoata watu wazito na welezi kwenye tasnia kumzidi kiasi kwamba ameona ageukie uanaharakati dhidi ya mitandao madhubuti kama jamiiforums. Ukipasua pipa sisi tunawasha kiberiti. Moto ni moto na kiberiti ni kiberiti, na pipa...
  14. Suley2019

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  15. Ileje

    Ayub Ryoba wa TBC fanya kazi punguza uchawa

    TBC redio ni shirika la umma kwa ajili ya kuhabarisha wananchi na hasa wa hali ya kawaida bila kujali itikadi zao za kisiasa. Aidha shirika linapaswa kutoa habari na burudani kwa nchi nzima. Jambo la kusikitisha haki hii ya kupata habari na burudani haiwafikii Watanzania walio wengi kutokana na...
  16. F

    Paul Kimiti: Utaratibu wa mtu mmoja kutembea nchi nzima kufuatilia matatizo ya watu hauwezi kufanikiwa

    Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa. Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka...
  17. Erythrocyte

    Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

    Juzi juzi tu mtangazaji mwingine kaachia ngazi, na leo tena mwingine kaaga! Kuna nini kwenye ajira hii ya Serikali ambayo watu wengi wanaikimbilia ?
  18. Mjanja M1

    Miriam Migomba aacha kazi TBC

    Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu. Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya...
  19. Mjanja M1

    Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC

    Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM. ANGALIA VIDEO HAPA Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20. Written by Mjanja M1 ✍️
Back
Top Bottom