Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,863
- 4,691
Rais Samia Suluhu Hassan amemwongezea miaka miwili ya kuliongoza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Ayub Rioba Chacha.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema, "Mheshimiwa Waziri Mkuu niseme tu baada ya kazi kubwa iliyofanywa na Dkt. Rioba kwa miaka nane, lakini tunamshukuru Rais (Samia Suluhu Hassan) kwa kumwongezea tena miaka miwili ili amalizie kazi kubwa alioanza kuifanya."
PIA SOMA:
- Dkt. Ayub Rioba akanusha vikali kuondoka TBC, awaomba Watanzania wapuuze uvumi
- Mkurugenzi wa TBC Dr Ryoba: Nina moyo wa mwendawazimu
- Ayub Rioba: JamiiForums ni chombo cha habari na si jukwaa la mtandao