ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Msaada: Nawezaje kutatua suala hili Kisheria?

    Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani! Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano! Je, mimi muuzaji...
  2. Roving Journalist

    DAWASA yatoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji Malamba Mawili

    Eneo la Malamba Mawili ambalo lipo kata ya msigani linahudumiwa kupitia mtambo wa Maji Ruvu Juu. Kutokana na maeneo hayo kuzungukwa na vilima vikali na hupata maji siku ya Jumanne, Alhamis na Jumapili, lakini baadhi ya maeneo kushindwa kupata maji pindi msukumo wa maji unapokuwa mdogo. Mamlaka...
  3. BUSH BIN LADEN

    Wataalam Wa Mawasiliano Naombeni Ufafanuzi

    Hizi cable/mkongo wa internet unaodaiwa kukatwa chanzo chake ni wapi hadi kutufikia hapa Tanzania? Ila pia mawasiliano ya sasa tunaambiwa ni wireless, sasa kama kuna cable zinapita baharini kuja kuwezesha mawasiliano hapo u wireless unatokea wapi? Mwisho kabisa kwa walio wahi kutumia simu za...
  4. C

    Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    Habari zenu ndg zangu, Ndugu zangu naomba ufafanuzi au ufahamu na ufafanuzi juu ya hali anayopitia mdogo wangu, mdogo wangu kafuata TRANSCRIPT yake ofisi za NACTE DAR tarehe 29/05/2024 akajibiwa arudi baada ya may-mosi yaani tarehe 02/05/2024 na akarudi tarehe hzo lakini alijibiwa MTANDAO UPO...
  5. The Genius

    Ufafanuzi kuhusu kasi ya ndege inapopaa

    Ufafanuzi mwepesi. Ndege inapokimbia kwenye barabara yake (#runway) kwaajili ya kupaa, kuna kasi tofauti ambazo Rubani msaidizi '#First_Officer au Rubani kiongozi #Captain anataja ili anayehusika kurusha ndege (Pilot in command) afahamu maamuzi aliyonayo katika mwendo husika. Ndege (hasa kubwa)...
  6. P

    Kuomba Ufafanuzi

    Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake na makisio ya bei yake.
  7. U

    Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  8. NALIA NGWENA

    Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

    Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea sintofahau kila kukicha msemaji wa yanga Ally kamwe ansema kuwa Pakome yupo tayali na ni mzima wa afya...
  9. sinaham

    Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mimi si mshabiki wa mno Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya. Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano. Ni kama hizo. H Kwa mfano Bailey ammkomalia...
  10. P

    Naomba ufafanuzi kuhusu lenta kwenye ujenzi wa nyumba

    Naomba kufafanuliwa kunaulazima gani unapojenga kuweka renta Tatu? Msingi baada ya kosi nne (dirishani) unaeka renta ukifika kozi ya kumi renta tena katika hizo ipi ni ya muhumi mnooo na haipaswi kuachwa.
  11. Superbug

    Serikali tunaomba ufafanuzi wa milipuko ya kila siku katika Milima ya Uluguru

    Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa. Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru ni ya nini? Kila siku kwa muda wa miezi miwili sasa kuna milipuko mikubwa sana nyuma ya Milima ya...
  12. Miss Natafuta

    Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga. Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia...
  13. amudamud

    Naomba kupata ufafanuzi kuhusu biashara ya vifaa vya electronics

    Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
  14. adakiss23

    Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video imeambatanisha. NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
  15. Roving Journalist

    TCCIA Manyara yasema Ramadhani Rashid Msangi aliyehukumiwa kughushi nyaraka sio muajiriwa wao

    Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Mkoa wa Manyara (TCCIA Manyara) kimeeleza kuwa taarifa zilizosambaa mitandaoni zikimtaja mshauri wa biashara na mwajiriwa wa TCCIA Manyara, Ramadhani Rashid Msangi aliyehukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya shilingi 900,000 kwa kosa la...
  16. Stephano Mgendanyi

    TANROADS Yatoa Ufafanuzi Kuharibika kwa Barabara ya Kigoma

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental). Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi...
  17. W

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  18. GENTAMYCINE

    Kama hamtojali naomba Ufafanuzi wa haraka juu ya haya mambo Matatu tu ya Umuhimu

    1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya? Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
Back
Top Bottom