Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,158
2,509

Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024.

Hakika utafunguliwa ufahamu wako na kila mtu atajua mjinga na mwerevu ni nani. Pengine ndiye mtawajua wabuguzi halisi ni kina nani...

Hii ni muhimu sana Nape Nauye na chama chake (CCM) wajitokeze kujibu hoja hizi na kuukanusha ukweli huu wa kikatiba kama unakanushika.

Mimi hata sijui mtu mwenye uelewa na ufahamu kama Tundu Lissu unaweza kumkamatia wapi ili umshitaki afungwe jela. Ni ngumu na pengine haiwezekani tu kabisa maana ni hakika kuwa: KNOWLEDGE IS POWER..!

Kila mtu anajua na kuelewa kuwa Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari. Yupo hapo kwa katiba hii ya 1977. HilI sina hakika kama lina ubishi wowote na kwwamba yupo mtu anaweza kulikanusha hili..

Na hivi inawezekana vipi kuwa kila ukweli unaojifunua kupitia kwa watu kama Tundu Lissu aliyejitoa kupigana kwa damu yake mwenyewe kwa ajili ya manufaa ya watu masikini wengi iwe ni ubaguzi na uchochezi? Really?

Mimi nadhani ifike wakati kila mtu wakiwemo watawala kupitia CCM waelewe kuwa nyakati za kuishi katika giza la ujinga wa kudanganywa na watawala umefika mwisho. Tunachosubiri kwa sasa ni justification tu kupitia "unyakuo"

Inashangaza kuwa kina Nape Nauye na CCM yake wanataka tuendelee kuishi ktk giza la ujinga na udanganyifu wa miaka 60..

Hapana. HII HAIWEZEKANI TENA... Watu wanataka kuishi katika Nuru ya haki na usawa...

Hebu nyie kina Dr Akili, ChoiceVariable, Tlaatlaah, Samiaagain2025 MamaSamia2025, Paul Makonda, @Nnape Nauye njooni mkanushe ukweli huu kwa hoja zenye ushahidi halafu mrudi tena kusema mbaguzi hapa ni nani. Pia mseme kama Rais Samia Suluhu Hassan sio mzanzibari, basi ni wa taifa lipi?

Na kuna ugumu gani wote kukiri kuwa kuna tatizo katika muungano huu wa 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar?

Kazi ya Tundu Lissu ni kuonesha matatizo lakini nyie mnamwita mbaguzi..!!

Looh!!, mna shida kwelikweli nyie

Pia soma: Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

View attachment 2977398

Wewe umekwisha herevuka waacha wanaccm wabaki na ccm yao!
 
magu2016
 
Chadema wakifungua bendi ya taarabu watapiga sana hela, kama ilivyo Ccm ikifungua chuo cha machawa
 
Kama anazungumzia idadi ya watu na uwiano wa wabunge, ni vizuri tuanze na Dar na Dodoma. Dar inawapiga kura wangapi (kwa takwimu za 2020) na Dodoma ina wapiga kura wangapi na Wabunge wangapi.
Mliosoma mahesabu tupeni uwiano ndipo tutajua kuwa Lissu ni mbaguzi namba 1.

Mbaya zaidi yeye mwenyewe aqmekuwa bungeni na anajua wazi kuwa majimbo ya uchaguzi wa wabunge hautegemei wingi wa watu/wapiga kura. Atupe vigezo ili twende pamoja.
Huyu ni mbaguzi namba moja, kwani akimalizana wa Uzanzibari na utanganyika atakuja kwenye Usingida na Uchagani au Umasaini au UDar. Nyie subirini pale nchi yetu itageuzwa kuwa kama Ethiopia na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
Kwa ufafanuzi wa jana kuhusu kauli yako kuwa LISU ni mbaguzi kutokea hotuba yake ya Manyara, majibu aliyokupa ilitegemewa wewe kama nguli wa Sheria na uwe na uelewa wa Katiba zote za nchi hizi mbili Tanzania na Zanzibar, and in fact ziwe at your finger tips and threfore kusema Samia ni Mzanzibari siyo ubaguzi maana katiba ya zanzibar inasema hivyo kuwa SAMIA NI MZANZIBARI!

Ulitegemewa uwe na uelewa wa details kama hizo za Katiba

Jaribu kuwa wider in sheria knowledge
 
Back
Top Bottom