Kwanini Tundu Lissu amechagua kumjibu kwa busara na kisoma wakili Fatma Karume na kuwapuuza wana CCM wanaotamani awajibu?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
926
4,343
Tundu Lisu akiwa Dodoma ametoa elimu kubwa sana ya Katiba ya Zanzibar dhidi ya Katiba ya Muungano. Wasomi wengi wamejikuta wakimsikiliza na kwa sasa YouTube majibu clip ya majibu yake ndiyo inaoongoza kutrend katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Katika majibu yake amempa heshima kubwa Fatma Karume kama wakili wake lakini amemfundisha kwamba kabla ya kusema soma. Fatma kwa majibu yale amekaa kimya kumaanisha ameelewa somo.

Jambo la kushangaza, Tundu Lisu ameamua kwa dhati kupuuza hoja zote zilizotolewa na viongozi wa CCM wakiwemo mawaziri. Hii dharau kubwa kwao na imewafanya wazidi kushambuliwa mitandaoni kuliko kuungwa mkono.

Way foward; CCM watoke adharani wakanushe hoja ya Uzanzibari na haki ya Mzanzibari against haki ya Mtanganyika . Waje na tafsiri ya katiba kama alivyofanya Tundu Lisu ambapo amejibu kwa kuisoma katiba siyo kuadithia
 
Kiuhalisia Tanganyika imewapokea watu za Zanzibar Kimuungano lakini Zanzibar imewapokea Tanganyika Kimshikamano.
Wamewaashika!
 
Hata yeye Fatima aliuliza kw busara kuihusu Chademakuwa na mgombea Urais kutokea Zanzibar

Angelikoroga hapo, Tundu lisu yeye angelinywa kabisa kabisa ikizingatuwa wote wanatambulikana ni wanasheria wasomi
 
Back
Top Bottom