Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

welding1682

JF-Expert Member
Aug 20, 2019
1,712
3,669
Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
 
Kwenye sector ya taka, ndicho kichaka cha wakurugenzi, watendaji kata, watendaji wa mitaa, wenyeviti wa mitaa na shirikishi (migambo uchwara) kwenye jamii.

Wananchi wanaibiwa waziwazi na wawakilishi wa serikali, nihatari sana.

Uchaguzi wa serikali za mitaa oc 2024 uwe ni fursa ya wananchi kuwezesha upatikanaji wa viongo sahihi husun huku chini ambako ndiko wananchi wanateswa.
 
Back
Top Bottom