nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Minjingu Jingu

    Nahitaji msaada wa Lodge au Hotel Mwanza

    Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini. Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu...
  2. B

    Nahitaji kiwanja nina bajeti ya 5m

    Nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 5mil maeneo ya kigamboni chanika gongo la mboto
  3. M

    USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
  4. Lomaa lolusa

    Nahitaji shamba la kununua

    Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe
  5. BEZO

    Nahitaji dada wa kazi

    Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani. Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi. Awe anajitambua. Tuwasiliane inbox 📥
  6. Enter Passcode

    Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
  7. C

    Nahitaji firebricks (tofali za moto mkali) kwa ajili ya chomataka hospitali

    Natafuta fire bricks na fire cement kwa ajir ya incinerator naomba msaada wapi nazipata
  8. aBuwash

    Nahitaji dalali wa fremu Mbagala kwa ajili ya nafaka

    Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
  9. K

    Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
  10. Jick

    Wauza spear used, nahitaji sunroof glass ya Toyota ipsum

    Habari ndugu jamaa na marafiki wa JF na wauza spear wote. Ninahitaji sunroof glass ya gari tajwa hapo juu. Kama ipo nicheki PM.
  11. S

    Nahitaji mke mtu mzima

    Nahitaji mke awe na umri kuanzia miaka 30 -48. Mimi nina umri wa miaka 44. Awe mkristo na mwenye kumcha Mungu. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
  12. Mwanaumke wa mithali

    Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
  13. MTINGIJOLI

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  14. H

    Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  15. T

    Nahitaji kutengeneza 1 million Ijumaa na Jumamosi

    Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari inayonikabili, ambayo inahitaji fedha za haraka. Hivyo wakuu naomba mwenye kazi yeyote ambayo naweza kufanya...
  16. Truth Bot AI

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
  17. Kipondo Cha ugoko

    Nahitaji kiti Cha saloon(barbershop chair)

    Wakuu husikeni na mada hapo juu. nahitaji kujua wapi nitapata kiti kama hichi Cha Saloon ya kiume kwa budget ya 700k, nahitaji viti viwili vipya lkn vya muundo kama huu. Au kama Kuna mtu anavyo anaviuza plz nichek dm. Viwe vipya tu sio used.
  18. 42774277

    Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  19. mzansi01

    Nahitaji gari za harusi

    Nahitaji kukodi gari za harusi v8 au range na alphad. Anayetoa huduma hiyo naomba gharama whatsapp kwa namba hi 0759666581 Nipo Dar es salaam
  20. covid 19

    Nahitaji developer nitayefanya naye kazi zangu

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji developer anayejua kudesign website nitayefanya nae kazi zangu tafadhali nicheki inbox chap
Back
Top Bottom