Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
1,387
1,360
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.

Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini.

Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.

Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.

Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.

Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.

Ahsanteni Sana
 
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki, Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini, Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka, Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi, Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping, Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu, Ahsanteni Sana
Dadekii mtakuja paramia majini kelebuu..

Mwambie umepata safari ya kikazi hivyo kesho unasafiri na utafunga nyumba yako hadi mwezi ujao.
Bon voyage..!
 
Na ukute huyo ndo mke sahihi ulopewa na MUNGU hakunaga formula ya hayo mambo wee kama unaona ni mstaarabu ishi nayo iyo ndo fungu lako........
Unataka umjue kiundani ye yuko arusha wewe Dar afu umjue kiundani! Usiogope majukumu atakuja kuwa mama wa watoto wako ambao utakuwa ukiwaangalia unapata faraja kubwa sana
 
Ila walimwengu mna ujasiri hasa. Sasa mtu humjui undani wake unamuweka ndani kwako. Ghafla akikata moto utapeleka wapi maiti. Ukute hata jina lake halisi hulijui.
Watu wanatembea na magonjwa yao, mara ukute ni kichaa usiku mmoja anaanza kukucharaza mboko ndani humo.

Siku zote mwanamke unaekutana nae juu kwa juu hata siku moja usimpeleke nyumbani kwako. Mbona lodge zipo nyingi.

Hii kauli narudia kila siku, mtaani kugumu. Watu wapo tayari kukaa hata na zimwi ilimradi tu awe na hifadhi ya uhakika.

Sasa ukute hizo nguo ulizomkuta nazo ndio pekee anazomiliki, halafu ghafla unampeleka shopping, ndugu yangu hata wewe ungekuwa huyo demu ungetaka kuondoka tena?

Huyo ni mkeo tayari, mwambie akuonyeshe kwao tu maisha yaendelee.
 
Ila walimwengu mna ujasiri hasa. Sasa mtu humjui undani wake unamuweka ndani kwako. Ghafla akikata moto utapeleka wapi maiti. Ukute hata jina lake halisi hulijui.
Watu wanatembea na magonjwa yao, mara ukute ni kichaa usiku mmoja anaanza kukucharaza mboko ndani humo.

Siku zote mwanamke unaekutana nae juu kwa juu hata siku moja usimpeleke nyumbani kwako. Mbona lodge zipo nyingi.

Hii kauli narudi kila siku, mtaani kugumu. Watu wapo tayari kukaa hata na zimwi ilimradi tu awe na hifadhi ya uhakika.

Sasa ukute hizo nguo ulizomkuta nazo ndio pekee anazomiliki, halafu ghafla unampeleka shopping, ndugu yangu hata wewe ungekuwa huyo demu ungetaka kuondoka tena?

Huyo ni mkeo tayari, mwambie akuonyeshe kwao tu maisha yaendelee.
Kila mtu atakata moto muda wowote, umjue usimjue, hata hao wanaojuana kwa undani uchumba muda mreeeefu kama donda ndugu bado mambo huwa yanashindikana
 
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.

Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini,.

Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.

Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.

Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.

Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.

Ahsanteni Sana
Mkwe,usiwe na wadiwasi.Naamini wewe si bokoharam kwamba umteke binti yangu.No problem at all!Njoo nyumbani ujitambulishe niwape baraka zangu.Ndoa huanza kwa styles tofautitofauti. Hiyo yako ni mojawapo.Amen!🙏
 
Kama kitu kidogo kama hiki nacho kinakushinda hadi kuja kuomba ushauli basi hii nchi baada ya maika 50 haotokua na wanaume, mtu umemshawishi hadi mkaonana, mkaingia penzini na hata nguo ukamununulia unshindwaje kukaa nae chini na kumchukua maelezo na kujua abc zake ??
 
Kama wewe ni mwanaume chukua muda tafakari juu ya situation, mtafakari binti na mwenendo wake afu chukua hatua.
Ila kama ni wale walamba lips kama kina lokole utaachia chuma ulichopewa na MUNGU...
 
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.

Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini,.

Kumbe Alikua Anaishi na Rafiki Yake ambaye kwa Mujibu wake alimuambia atakua na Wageni Hakua na Pa Kukaa, Akaomba nikae Nae hata Siku Mbili tatu then Ataondoka.

Cha Kushangaza Hadi Hivi Sasa Yuko Jikoni huko anarekebisha Mambo 😀😀 (nacheka kama Mazuri) ni Binti Mstaarabu tu hana Shida anafanya Majukumu yote, ila Kitendo cha Kuishi Bila Utaratibu Wala Kumjua Kiundani kinanitia Sana Wasiwasi.

Natamani Kweli kupata Namna Nzuri ya Kumuondoa Wadau, Maana Hata Nguo alikua na Alizovaa tu, Nikampeleka Makumbusho, Tukafanya Shopping.

Wakuu Mi Sio Muandishi Mzuri ila Ningeomba Mnisaidie Namna ya Kumtoa Huyu mtu kwa Njia Rafiki na Rahisi asijikie Vibaya, Hopefully mtakua mmenialiewa na Poleni kwa Kuwachukulia Mda Wenu.

Ahsanteni Sana
Date na mwingine
 
Back
Top Bottom