Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

Zote zinatumia engine moja. Body nzuri na muonekano ni ya Carina TI
Kwamba Carina TI ina muonekano mzuri kuliko Premio😀😀😀.

Premio
IMG_6649.png
IMG_6650.png


Carina Ti
IMG_6651.png


(kweli uzuri wa kitu upo kwenye Macho ya Mtu anaekiona).
IMG_6652.png
 
Kuna moja nlipanda private corona old lakini ilikua na engine ya d4, ilikua inamwaga moto hatari. Carina usichukue SI ,, tafuta TI ukipata kwa wahindi au tanga kule ziko poa
 
Zote ni Nzuri tu ni sedan zilizo tulia sana kuanzia body mpaka ndani

Utofauti labda ni kwenye engine replacement carina Ti Nyingi ni cc 1490 ikiwa na Injini ya 5a

PREMIO old (corona premio) yenyewe Injini capacity yake nyingi ni cc 1790 code ya Injini 7a kama sijakosea japo zipo pia zenye cc 1530 japo ni chache sana.

Sasa basi ningekuwa ni mimi ningechukua carina Ti Unajua kwa nini? Kwa sababu carina Ti Sokoni Itatoka haraka zaidi kuliko premio kwangu ni hiki kigezo tu ndio kingenifanya nichukue CARINA Ila KATIKA UBORA YOTE YAKO SAWA TU.
 
Back
Top Bottom