mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii ni kwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany...
  2. Action and Reaction

    Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  3. Eli Cohen

    Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
  4. Tlaatlaah

    Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi. Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na...
  5. Nyendo

    KERO Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji kutokana na kasi ndogo ya maji. DAWASA wafafanua

    Malamba Mawili maji ni ya mgao yanaweza maliza wiki 2 bila kutoka na yakitoka yanatoka usiku wa manane yakitoka kidogo kidodo, yanachirizika hayana kasi hata kidogo kiasi ambacho baadhi ya watu ambao nyumba zao zimepo kwenye miinuko kidogo maji hayafiki kabisa. Kuna baadhi ya watu wana miezi...
  6. U

    Nani Producer Mkali, S2Kizzy Vs Mika Mwamba?

    S2Kizzy Mika Mwamba Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa nyimbo za bongo fleva Kwa Jina Milka Mwamba. Sasa s2kizzy ambaye Kwa Sasa ni...
  7. C

    Nahitaji firebricks (tofali za moto mkali) kwa ajili ya chomataka hospitali

    Natafuta fire bricks na fire cement kwa ajir ya incinerator naomba msaada wapi nazipata
  8. M

    Wape mipaka ya kukufahamu na usikubali waivuke, kuwa mkali kwenye hilo

    KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU. 1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu. 2. Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako. 3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako. KWANINI KUWEKA UKOMO? Kwa sababu kadri unavyoruhusu kufahamika ndivyo unajiweka wazi na...
  9. M

    Wape mipaka ya kukufahamu na usikubali waivuke, kuwa mkali kwenye hilo

    KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU. 1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu. 2.Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako. 3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako. KWANINI KUWEKA UKOMO? Kwa sababu kadri unavyoruhusu kufahamika ndivyo unajiweka wazi na kujiondolea...
  10. kalisheshe

    Hakuna na hatatokea dancer mkali nchini Congo kumzidi Bouro Mpela

    Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide. Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza kuongeza zaidi
  11. Lycaon pictus

    Kuna msanii mkali wa kupiga live kama Frida Amani?

    Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
  12. Stephano Mgendanyi

    Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyaleta Maafa kwa Watu 685 Kijijini Lyasembe - Musoma Vijijini

    Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi. Jumla ya watu walioathirika ni: 685 Watoto 384 Watu wazima 301 Jumla ya majengo yaliyoharibika: (i) Nyumba zilizobomoka (17): 17 za wanakijiji (ii) Nyumba zilizoezuliwa...
  13. Tlaatlaah

    Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  14. Mjanja M1

    Mdau anauliza kwanini awe mkali kwa ugomvi wake na mwengine

    Mzazi mtoto wake hata awe mbaya kiasi gani na hamuui, awe shoga, mwizi, jambazi bado asilia 98 ya wazazi hawatowaua watoto wao. Iweje Mungu wetu wa upendo atuchome sisi watoto wake kwa sababu ya ugomvi wake yeye na shetani?
  15. B

    Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

    Guys mambo vipi. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina swali dogo tu. Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap (HipHop kwa ujumla)?
  16. JF Toons

    Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  17. B

    Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

    wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
Back
Top Bottom