Nimeomba msaada Google nikaambiwa;
How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN?
Release and Renew IP Address.
Restart DNS Client Service.
Change DNS Servers.
Reset Chrome Flags.
Disable VPN and Antivirus Temporarily.
Check Your Local Hosts File.
Check DNS of Your Domain.
Restart Your Computer...
Wakuu Heshima mbele.
Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho unisindikize shule nikachukue cheti changu, akasema tutakwenda. Basi tulilala mjini pale na asubuhi yake...
Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria.
Je, napaswa nifanye nini?
Wadau Eid Mubarak,
Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu...
Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa.
Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa kila mtu anaishi kivyake yeye yupo na mtoto.
Kuna wakati mzazi mwenzangu anapata hasira za...
Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa!
Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba waliangalie hili kwa umakini!
Mimi ni miongoni mwa watu waliohitimu mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.?
Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii.
Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
Habari,
Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road.
Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti...
Ningeomba kujua pia...
Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
Habari za wakati huu wakuu,
Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia.
Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED
SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
Habari ndugu zangu,wakubwa shikamoo!
Nimepotelewa na cheti changu cha FORM SIX , Jumatano ya tarehe 13/12/2023 maeneo ya POSTA mjini MBEYA.
Jina : DEBORA CHARLES MIHO
Shule niliomaliza form six : PANDAHILL SECONDARY SCHOOL
Namba ya simu :
VODA: 0752321681
AIRTEL : 0695600497
Tafadhari atakae...
Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.