kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

    Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
  2. Mparee2

    Mwendesha Bodaboda, kama unapenda kuishi, pitia hapa!

    Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki! 1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa hutajua maamuzi dereva wa gari anayotaka kufanya. Gari inaweza kupinda kushoto au Kulia bila...
  3. Marcy

    Tupeane mbinu za kuishi na viongozi wenye tabia za ovyo

    Ni namna gani ya kuishi na kiongozi mwenye lugha ya ukali na matusi katika eneo la kazi Asiyeshirikisha wengine katika jambo lolote zaid ya kuendekeza ubabe na paniki zisizo na msingi Kubwatwa muda wote hata kama jambo ni dogo Asiyependa ushauri kusikiliza watu na kukaa meza moja kupata...
  4. P

    SoC04 Namna nilivyotaka kujiua baada ya kukata tamaa ya kuishi

    Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu. Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule wa.....www.jamiiforums.com/threads/hivi-ni-mimi-tu-haya-maisha-yanataka-kunikataa.2210301/. Na hii ni baada ya kukuta watu wawili walionionea huruma na...
  5. greater than

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama Biashara 1. Dar es Salaam Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote. Kwenye Biashara ina points 9...
  6. Makirita Amani

    TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
  7. G

    Kufosi kuishi kizungu kwa shotcut za kibongo, Nina rundo la muvi/miziki/pdf za kudownload, kuna usalama wa online backup au nitunze kwenye external ?

    Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni maktaba ilituandalia vipeperushi vya tovuti za kudownload vitabu bure, pia mwalimu wetu wa somo la...
  8. Makirita Amani

    Jinsi Ya Kuishi Maisha Ya Kitajiri Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha. Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua hapati furaha aliyotegemea angeipata. Tatizo siyo kwamba utajiri na uhuru a kifedha hauleti furaha...
  9. Pdidy

    Taja faida za kuishi peke yako

    Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
  10. G

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo! 1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI Huwezi kuroga...
  11. X

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri. Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya nyuma. ●RIHANNA Kwenye mahojiano yake ya karibuni alisikika akisema "Huenda ikaonekana ni unafiki...
  12. Loading failed

    Mnawezaje kuishi na mwanamke anayepiga makelele na kuongea maneno mengi ya siyoisha

    Ndugu zangu habari za weekend wakuu Kuna wakati mwanaume hutaki kukaa nyumbani kukwepa makelele ya mwanamke na maneno mengi yasiyo na mpango. Ila kuna kipindi mwili na akili vinachoka kudhurura vinaona bora upumzike nyumbani kwako hata kidogo kuliko kwenda bar, kijiwe au kukodi lodge ili kulala...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau: Kusoma kwa bidii ni kuishi kwenye ndoto zako

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki Mahafali ya kidato cha sita Shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo Kinampanda Wilaya ya Iramba akiwa mgeni rasmi wa mahafali hayo. Katika mahafali hayo, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliambatana na wageni mbalimbali...
  14. Ncha Kali

    Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa na umuhimu wake. Hivyo nafasi ya wewe kuishi leo isikufanye ufikiri kuwa ni ya...
  15. G-Mdadisi

    Kamwe Mfugaji hawezi kuishi pamoja na Mkulima. Maisha hayawaruhusu

    ✍#GMdadisi Sijui ni lini WAFUGAJI na WAKULIMA watakuja kuelewana na waishi pamoja bila kuwa na migogoro wala chuki. Nadhani hii yaweza kuwa ni ndoto nzuri ambayo haitakuja kushudiwa katika kizazi hiki. Bahati mbaya sana ukimsikiliza mfugaji analalamika kuonewa na mkulima. Vivo hivyo mkulima...
  16. Half american

    Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
  17. BabaMorgan

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko. Lakini...
Back
Top Bottom