Kuna clip sijui ni nchi gani kuna public toilet ambayo ni transparent (sijui ndo hivi)
Ulieko ndani unaona nje kila kitu ila wa nje haoni ndani hata kidogo, kama una roho ndogo hujisaidii pale maana majitu unayaona livelive.
Kwa nini asipige hata pazia!
Hicho chumba kinafanana na selo za vip, kuishi na kujistiri ni humo humo!
Dah!
Kwa swali la mada, mimi binafsi siwezi kuishi kwenye chumba cha namna hiyo, labda kwenye maisha ya adhabu kama vile jela.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.