Hii ni historia ya Tanganyika ambayo inasimuliwa na Sheikh Zuberi bin Yahya.
Anasema Sheikh Zuberi( pay attention) Seyyid Majjid, Sultan wa Zanzibar kuanzia Octobet 19,1856 mpaka October 7, 1870, alininua kiwanja kikubwa maeneo ya Mzizima eneo ambalp linajumuisha viwanja vya Ikulu,kanisa la...
MALEZI YENYE MISINGI YA KUMCHA MUNGU, UWAJIBIKAJI NA KURIDHIKA.
Katika miaka ya sasa hivi wazazi wengi wamekua wakijikita sana katika shuguli za utafutaji kiuchumi ili kukidhi mahitaji ya familia zao na kupelekea upande wa malezi kwa watoto kutotiliwa mkazo na wazazi kama miaka ya zamani. Hali...
Kama inavyoaminika katika Taifa lolote lolote misingi ya maendeleo hutokana na uwepo wa rasilimali zilizopo kwenye Taifa hilo,Taifa misingi yake ni Jamii zinazolizunguka taifa hilo, hivyo Uimara wa taifa hutegemea uimara wa jamii zinazolizunguka,Taifa lolote ili liitwe taifa ili liweze kuendelea...
Salaam, zingatia swali hapo juu.
Ati jamani yani kwanini?
Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa?
Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa moto, kuna raha na starehe.
Ebu naombeni ufafanuzi kwa vyovyote unavyoelewa wewe au hata usivyoelewa na...
Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha.
Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
I. Usuli
Waraka wa Vatican uitwao "Dignitas Infinita" kwa KIlatini, yaani "infinite dignity," kwa Kiingereza, na "Heshima isiyo na mipaka," kwa Kiswahili, umesambazwa tarehe 08 Aprili 2024.. Ujumbe mkuu wa waraka huu unaweza kuwasilishwa kwa asilimia kubwa na hoja ya kifalsafa ifuatayo:
"For...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la The Foundation For Civil Society (FCS), Francis Kiwanga amesema Shirika hilo linajivunia miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuheshimu na kusimamia misingi ya Demokrasia.
Kiwaga amesema kuwa FCS inajivunia uongozi wa Rais Samia...
Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani au nje ya chama.
Msingi wake una mizizi ya kitaifa na kimataifa.
Imejengwa kukabiliana, kudhibiti na...
Maadili na tabia njema huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga na kuimarisha jamii yenye amani na umoja. Tunapolea watoto katika misingi ya maadili mema na tabia njema, tunaimarisha uelewa na uwezo wao wa kupambanua matendo mema na mabaya.
Pamoja na hivyo, wazazi tunapaswa kuwajengea watoto...
Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu?
Hili taifa ni secular.
Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani?
Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje?
Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere...
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza...
Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?
Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
Hello!
Habari za muda huu....
Wazaramo wanasema
"Kidire Mwali"
Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani...
Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la
MBA ya MCHONGO
Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
Chama Cha Mapinduzi ( CCM) ni chama kilichopitia changamoto nyingi nyingi na zinazoweza kuhatarisha uwepo wake kama chama tawala lakini licha ya changamoto hizo kimeweza kustahimili kutokana na sababu kadhaa nje ya ukongwe wake au uzoefu.
Moja ya sababu kubwa ni Misingi ya ujamaa ambayo CCM...
Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko.
Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
Ni ukweli usiopingika kuwa kila imani (kanisa/dhehebu) lina misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ndiyo inaisimamia.
Misingi ya Imani ya Tanzania Assemblies of God inasimamia misingi kumi na sita (16) ambayo kila muumini anatakiwa kuiishi. Misingi hiyo ipo kwa mujibu wa Biblia Takatifu ambayo ni...
Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais?
Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa
Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.