mtangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rufiji dam

    Azam Media mkanyeni mtangazaji Ngoda kuchanganya mpira na vyama vya siasa

    Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM. AKOME
  2. D

    Ricardo Momo ana kipindi kizuri sema mvivu sana. Mtangazaji mwingine akopi kazi zake

    Ricardo Momo I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions. Sadly, he could simply operate his sessions via phone calls hata akiwa nje ya inchi. There's alot of money in ads, wasafi isn't...
  3. Erythrocyte

    TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

    Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua. Apumzike kwa Amani
  4. mdukuzi

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  5. Aramun

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
  6. R

    Ibrahim Masoud wa E-TV ni Mtangazaji wa hovyo kabisa wa Mpira

    Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man. Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata...
  7. Wadiz

    Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

    Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level. Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko. Endeleeni na vilaza...
  8. DR Mambo Jambo

    Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  9. Kyambamasimbi

    Ni wakati Sasa vyuo vya Sanaa kutambua mchango wa Mtangazaji Masoud Masoud katika tasnia ya Muziki

    Habari wanaJF. Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii. Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya...
  10. Mjanja M1

    Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa. Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  11. maroon7

    Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
  12. M

    Mtangazaji mpira Azam Tv anaboa sana

    Jamaa maneno meeeengi hata hayahusiani na game yenyewe. Akimtaja mchezaji ataanza kumchambua weeee hadi club alizopita, badala ya kutangaza mpira unaochezwa uwanjani yeye ni ujuaji na story tu. Yaani utafikiri yupo kwenye kipindi cha majadiliano. Too much boring. Halafu hata tone/sauti yake...
  13. BARD AI

    50 Cent ashtakiwa kwa kumpasua sura Mtangazaji kwa Microphone

    MAREKANI: Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na Kipaza Sauti limeathiri mwonekano wake. Ingawa tukio hilo linalodaiwa kutoka kwa bahati mbaya Agosti...
  14. GENTAMYCINE

    Je, ni sahihi kwa Mtangazaji wa TBC Taifa kutamka haya Hewani?

    "Tafadhali ewe Mtanzania fanya kila uwezalo na kama una Babu yako Mganga wa Kienyeji mwambie asaidie kwa Ndumba ili Taifa Stars iifunge Zambia na hata tulicheza na Congo DR tushinde pia" Kuna Mtu miaka ya nyuma aliwahi kuniambia kuwa kama kuna Media ambayo Watumishi wake Wanarogana / Wanapigana...
  15. Makamura

    Gary Lineker: Mtangazaji wa Mechi Bora Amefuta chapisho lake mitandaoni la kuitaka Israel kupigwa marufuku kujihusisha na soka

    Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter. Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
  16. sinza pazuri

    Jonijoo ni mtangazaji anaeongoza kuzipa media hasara. Ni mtangazaji mzigo

    Alianzia kuonekana pale Times Fm lakini wakubwa hakuwashawishi kumpa kipindi kikubwa hawakuridhika na kiwango chake. Baadae akatimkia Wasafi FM akapewa kipindi cha Block 89 akafeli kipindi kikafa ilikuwa hasara tu kipindi kilijaa kelele wadhamini hakuna. Akaletwa Lil Ommy pale Wasafi na akaja...
  17. SAYVILLE

    Nyie Manara TV acheni kutuongopea

    Kuna huyu mtangazaji wa Manara TV anayehoji watu kwa kifaransa, leo alimuhoji mchezaji wa ASEC Mimosas. Watu wamekuwa wanamsifia sana huyu dogo kisa ufahamu wake wa lugha ila ukiangalia inaonyesha hajawahi kupitia mafunzo yoyote ya uandishi wa habari kwa sababu kuna vitu vingi anavikosea ikiwemo...
  18. Kyambamasimbi

    Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

    Kuna mtangazaji Nguli, mwanadada Glory Robinson wa kipindi Cha Showtime wakiwa na kidebway na Bonanza sehemu ya pili sijui alipoteleaga wapi tangu alivyokuwaga RFA. Sijawahi isikia sauti yake sijui Yuko waapi, anayejua alipo...... Pls anijuze.
  19. GENTAMYCINE

    Mtangazaji wa EFM Twalib Muwa: Simba SC kuishinda Al Ahly labda ishinde Njaa tu

    1. Kama katumia miaka Sita (6) kuitafuta Degree yake (isiyoeleweka ) Open University of Tanzania (OUT) kutokana na uhaba wa Akili alionao Kichwani ataacha kuwa Mpuuzi hivi? 2. Kama kila Redio anayokuweko yeye kutwa ni Kugombana tu na watangazaji wenzake ataacha kuwa Mpuuzi hivi? 3. Kama kuwa...
  20. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Amani Mbilo wa Radio One kuwa makini usikuambukizwe tabia ya kuchukia wanaume ukakosa mume

    GENTAMYCINE nikiwa kama Balozi wa Kujiteua Mwenyewe Kilazima wa Kipindi nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Super Brand Radio One kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi kila Siku za Jumapili nimeanza kuvutiwa na Mtangazaji wa Kiume Haji Kibwana kwa jinsi...
Back
Top Bottom