sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani...
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi.
Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
Tufike wakati tuseme imetosha sasa.
Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio wanaturudisha bungeni sasa. Tushafanya nyimbo kila ukikaribia uchaguzi tunawakimbilia.
Tukipata...
Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili.
Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri...
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake.
Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
Mwenyekiti Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka ametoa wito...
Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais
nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Naibu...
Jaji Warioba akihojiwa na Mwananchi Digital Aprili 7, 2024. amesema kuwa Mawaziri wasitokane na wabunge,
"Bunge liwe ni bunge, serikali isiingiliane na bunge, na vizuri mawaziri wasiwe kwenye bunge, mbunge asiwe waziri. Wakati tulipopata uhuru na hasa tulipobadili katiba tukawa Jamhuri, Rais...
Muda mwingine mabadiliko yatakuja kama tukibadilisha watu kwenye mfumo.
Kadri mbunge anavyokalia kiti anabweteka anakula maisha kwa mishahara ya mamilioni.
inakuaje mbunge anapokea pensheni halafu anarudi bungeni.
Basi kama vp kila mtumishi alipwe pensheni kila baada ya miaka 5
Hii nchi ni...
Wakuu,
Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.
Yaani ni hekaheka, patashika nguo...
Wabunge kutoka Zanzibar
Omar Ali Omar (ACT) - WETE
Khalifa Mohammed Issa (ACT) - MITABWE
Maryam Omar Said(CUF) - PANDANI
Mohamed Said Issa (ACT) - KONDE
Seif Salim Seif (CUF) - KUSINI PEMBA
Salum Mohammed Shaafi (ACT) - CHONGA
Wabunge kutoka Tanzania Bara
Shamisa Aziz Mtamba (CUF) - MTWARA...
Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!!
Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa...
Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:-
1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya.
2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn.
3. Pascal...
Naungana na bunge kukanusha taarifa za Mh. Mbowe kuwa wabunge wameongezewa mshahara kutoka sh. Milioni 13 mpaka milioni 18.
Kwanza tangu tupate uhuru wa nchi hii serikali haijawahi kumlipa mbunge yeyote mshahara wa milioni 13.
turudi kweli mada.
Jamaa wajanja wamejiongezea posho na sasa...
Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao.
Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu.
Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.