wapiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samatime Magari

    📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
  2. B

    Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  3. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed: Wenye Ulemavu na Wazee Wahamashishwe Kujindikisha Katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa ngazi zote kuhakikisha wanahamasisha Watu wenye Ulemavu na Wazee kujiandikisha katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na...
  4. Heparin

    SI KWELI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inapokea Maombi ya Wafanyakazi wa Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Mtandaoni

    Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi. Ukweli wake upoje?
  5. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed Ahamasisha WanaCCM Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewaagiza viongozi wa Matawi, Kata na Mashina kuhamasisha wanachama kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili wapate sifa za kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Ameyasema...
  6. Allen Kilewella

    Hivi wapiga kura wapya wataandikishwa lini?

    Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa. Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
  7. M

    Muitikio hafifu wapiga kura chaguzi za ndani CHADEMA nani alaumiwe?

    Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika chaguzi kuchagua mwenyekiti kama hajapita bila kupingwa utakuta Mwenyekiti mkoa amechaguliwa kwa...
  8. Melvine

    Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
  9. kipara kipya

    Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

    Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe. Wakaenda mbali kwa...
  10. Suley2019

    Mnyika: Tukitaka kuongeza idadi ya wapiga kura imani katika mifumo ya uchaguzi iongezeke

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani na mifumo ya uchaguzi nchini. Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia...
  11. R

    Ni HAKI mbunge kuwauzia wapiga kura jimboni maji au sukari?

    Salaam ,Shalom!! Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maeneo mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji, Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia kampuni zake? Shida ya maji itakuja kwisha Kweli? Ni sawa Kweli wabunge kupitia kampuni zao kupewa...
  12. Subira the princess

    Liko wapi daftari la kudumu la wapiga kura?

    wasalaam, inashangaza mpaka sasa serikali ccm na tume ya uchaguzi ya ccm hawana mpango wa kuandikisha wapiga kura wapya ktk daftari la kudumu la mpiga kura. ukiangalia kule upande wa pili visiwani Zanzibar. wametoa utaratibu na wanaandikisha wapiga kura wapya. ikubukwe 2024 kuna uchaguzi wa...
  13. Erythrocyte

    Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

    Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura. CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila...
  14. B

    Jaji Mwambegele: Ushiriki wa wadau muhimu kufanikisha uboreshaji wa daftari la Wapiga Kura

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 17 Novemba, 2023 jijini Dar es Salaam. Sehemu ya viongozi wa Dini walioshiriki mkutano huo...
  15. GENTAMYCINE

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

    Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura. Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na...
  16. Webabu

    Uchaguzi Ukraine ni mwakani, Zelensky atawaambia nini wapiga kura wake?

    Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024. Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo. Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea...
  17. THE BIG SHOW

    Sikilizeni CHADEMA hakuna aliewakataza kushiriki katika michezo

    Friends and our Weak Enemies, Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje aseme siasa zetu sisi au demokrasia yetu sisi ifanane na wao la hasha,na ndiyo Kwa maana unaona nchi...
  18. Asante CCM

    Kuna raha gani mwanasiasa unakula kushiba ilhali wapiga kura wana shinda njaa?!

    Majimboni kwao wengi wao hali ya wapiga kula ni ya kutisha na ugumu wa maisha unaowasumbua. Hakika, matumbo ya wakubwa wale ukiyaona yameshiba na huenda yamebeba na hata kipolo cha kesho! Fikiria mwananchi wa hali ya chini anavyopambana kupiga magoti na kuchuchumaa kwa kila stairi kuchimbua...
  19. peno hasegawa

    Wabunge wa CCM wakirudi Majimboni wanakwenda kuwaeleza nini wapiga kura wao kuhusu DP WORLD kununua Bandari zote Bara?

    Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu. Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote? 2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi. 3. Mbunge wa Arusha...
Back
Top Bottom