šŸ“Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
106
405
Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri..
1714719784029.png
1714719816114.png

.
Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr ikawashiwa Full lights. sasa twende pamoja nikugusie hii chuma then tuendelee kumtumikia Mungu kwa nguvu zetu zote. Nikurudishe nyuma kidogo back in the days pale Ubungo Kibangu..
.
Man of God Lusekelo aliulizwa swali na mmoja wa watoa sadaka Kwamba inakuaje watumishi wana magari ya gharama wakati YESU alikua anakula punda au TZ 11 wakati anatoa huduma. Mtumishi wa Mungu akajibu Yule Punda aliekua anatumia Yesu alikua wa viwango vya juu na hakuwahi kutumika na mtu yoyote..
1714719862209.png
1714719876701.png

.
Ingekua kipindi hiki basi yule punda Angefananishwa na gari flani kali latest kama wanazotumia watumishi wa Mungu. Sasa wakati tunaanda sadaka zetu kwa siku za ibada zinazokuja turudi kwenye chuma iliyotuleta hapa ya Pr Tony Kapola. Hii machine inaitwa Ineos granadier na imekua designed kwa kazi chafu chafu [off road utility vehicle].
.
Machine imezaliwa 2022 though idea ilianza miaka ya nyuma kidogo ila 2019 ndo mambo yalipamba moto na hii idea sehemu kubwa ni muunganiko wa Uingereza na German engineering na hapa ndo Landrover waka team up na BMW kufanikisha hii project..
.
1714722547539.png
1714722565562.png

.
Na Lengo lilikua ni kuleta Mbadala wa Landrover wenye advance techs, confortability nzuri na ifae kwa safari ndefu. Kama umeshawahi kusafiri na defender zile za zamani safari ndefu utajua mziki wake ile chuma inachosha, Unaweza safiri by the time unafika ukahitaji huduma ya kukandwa viungo vya mwili..
.
Na hili kuliweka sawa ndo huyu mwamba akaja na wakampa steel ladder chassis, hii ni chasis ambayo haiko straight yani inakua inapanda na kushuka ili kukidhi mahitaji flani ya mtumiaji na Lengo ni kukupa confortability na legroom ya kutosha ukiwa ndani ya chombo na inakua Na uwezo wa kuhimili mzigo mzito + stability..
.
1714720103922.png
1714720125274.png

Tyre za nyuma na mbele kote zina coill spring na wamezipa beam axles ili zifae kwa safari ndefu na utulivu wa gari bararani. Yani Pale Mchungaji akitaka kusoma Malaki 3:10 asome kwa uzuri na kwa utulivu ili aje akufundishe Umuhimu wa kutoa sadaka, sio kila siku unapiga maombi kumbe hujamjaribu Bwana kwa matoleo then uone kama atakujaza kama asemavyo, anyway tuendelee..
.
Hii Chuma ina differential tatu [front, centre na rear] yani inafukunyua tope inashika ardhi mambo yanaenda na mwendo upo. Na hizi differential zimetengenezwa na kiwanda cha kutengeneza tractor hakuna tope litaleta shida hapa, hii ngoma kukwama ni issue..
1714720325814.png
1714720336548.png

Speaking of body waliifanya ikawa boxy zaidi ili kukupa hewa zaidi, na nafasi ya kichwa kuanzia kiunoni na pia sightness nzuri ya barabara. Na hapo Juu sijakwambia hii chuma originality yake ni wapi Lakini jua kwamba machine sehemu kubwa imekua assembled France na kampuni nyingi zimetia mkono hapo.
.
Lakini pia hata Australia pia wana plant ya hii machine, tuendelee mbele kuna uhondo zaidi na Nikukumbushe tu Hapa hawaja copy/replicate kitu chochote kutoka kwa Defender but wametengeneza gari Ya kisasa zaidi kuliko Defender. Na hapa kuna gari ambazo walizitumia kama sample na kuona wafanye nini kitakacholeta utofauti zaidi na gari kama kina G wagon, Bronco, Pajero nk.
.
1714722653238.png
1714722677351.png

.
Ukiangalia hata ndani tu unajua hii ni idea mpya, kwanza dashboard lake steering na infortainment zimekaa kibabe na kitofauti sana. Gari ina button za ku control vitu kama ubaridi na joto, parking assistance, double indicator nk kwa mbele katika kati.
.
Halafu gear knob Yake ni ya BMW imekaa utamu sana, Plus chini kuna control ya infotainment na pia screen yake hapo kati ni touch. Juu wameweka control za vitu kama differential lock, Hii ukiweka ON matopeni tyre zinakua na mzunguko sawa yani hakuna inayozunguka zaidi ya mwenzake..
1714720595142.png
1714720604487.png

Lengo Ni isikwame pia kuna off road modes control, interior na exterior light control, down hill assist, electoronic stability control nk. Hili dude ukiliendesha unapata feeling kama unaendesha ndege ma button mixer juu kwa toproof na pale mbele kwa dashboard ya kutosha.
.
Machine ina sehemu ya kutolea umeme 12V kwenye Box /Boot hapo juu pia kuna button za winch kama unataka kuvuta kitu na vitu zingine. Seat za nyuma kuna USB port na ventilation za AC wamekuwekea hapo upate ubaridi kwa uzuri kabisa halafu linatumia battery mbili.
.
Kuna Main battery na secondary battery ziko hapo chini ya siti za nyuma na ina Inteligent smart check ya umeme ili incase kuna shida inakata moto.
1714722786136.png
1714722801075.png

.
Speaking of space humo ndani kuanzia mbele mpaka nyuma ipo ya kutosha na gari inakula mzigo wa kutosha bila presure. Utakua umejiuliza mbona sioni speedmeter maana tumezoea kuona mshale hapa mbona hauonekani,
.
Iko hivi pale kwa infotainment screen ipo. Speed meter, gauge ya mafuta, gauge ya joto, rpm, gear nk zimekua digitalised zinakua Displayed kwa hio screen hapo kati [angalia picha]. Hii Binafisi haijanibariki sana gari ikishakua ya kazi mambo ya digital huwa siyapendi sana yale ma mishale shale huwa yana raha yake.
.
Anyway ni mambo ya teke linalokujia we have to accept it twende na dunia na pia inakupa average ya matumizi ya mafuta na km zilizobaki..
.
1714720861454.png
1714720875959.png

Taarifa kwa hapo ni nyingi ili tuishie hapa twende jikoni kidogo maana nako ni muhimu maana ndiko nguvu zinatoka, Sasa gari jikoni imekuja na engine mbili na zote zimetoka kwa BMW ya kwanza ni Diesel engine 3.0L B57 na Ya pili ni Petrol 3.0L B58 zote ni turbo na Zote ni Inline 6 cylinder na ziko linked na ZF gear box ya 8 Speed-automatic transmission.
.
Hawa ZF ni watengeneza gearbox huko German jamaa wanatengeneza gearbox za 8 speed, nyepesi, hazili wese sana na zinaipa engine urahisi kufanya kazi ya kuipa gari mwendo, Hizi engine Diesel in 245HP wakati Petrol ana 282Hp0
.
Hizi ni ligi za kina Land Cruiser 300 series Yani nguvu ipo ya kutosha. Na hizi chuma kama unazipenda na unapenda mwendo chukua petrol tu cause naamini mpaka unaivuta hii ngoma level ya kuwaza mafuta ushapita.
.
8Km/L kwa petrol na Diesel itakupa average ya 12Km/L, Mchumi go for Diesel engine though kwenye maintanance inaweza kuku kaba kidogo as diesel engine a bit complex. Na zikila mafuta mabaya ku respond ni mapema tu but sio jambo la kukutisha as i believe una financial muscles za kupambana nalo.
1714721425754.png
1714721433716.png

Hii machine ukiinunua kabla ya usafiri to bandari salama ina cost Ā£65,171 kama tsh tsh 179,973,460 ukiweka na freight charges Ā£800 185M Inahusika. Ukitia Kodi almost 150M-200M Million Mia Nne hii hapa, so kwa makadirio 350M++ Machine inakua imefika Bongo Land kufanya utumishi.
.
Sasa turudi kwenye default mode kwenye gari zetu pendwa za Japan. Kama unahitaji kuagiza gari njoo tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand etc., Dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa discount nzuri so upande wa bei nao uko safi ..
1714721616137.png
1714721623978.png
1714721630907.png

Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama kwa pesa yako na unaojali muda wako. Simply njoo WhatsApp 0714547598 au ofisini Posta Mpya MUA House 4th Floor mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri...
.
Kama uko mkoani na unahitaji Kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri pia tutakupa option za gari achagua utapewa invoice. Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo...

1714721644810.png
1714722961989.png
1714721653256.png

.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi njoo katika kurasa zetu za jamii ili usipitwe na review + habari za magari huko twitter na Instagram, Pia unaweza Save This number Samatime magari 071454759 then share jina lako na unalapotikana tutasave number yako na utapata access ya kuona huduma zetu pamoja na offers tunazotoa kwa familia ya Samatime magari
.
Samatime Magari
0714547598
 
Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri..
View attachment 2979560View attachment 2979562
.
Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr ikawashiwa Full lights. sasa twende pamoja nikugusie hii chuma then tuendelee kumtumikia Mungu kwa nguvu zetu zote. Nikurudishe nyuma kidogo back in the days pale Ubungo Kibangu..
.
Man of God Lusekelo aliulizwa swali na mmoja wa watoa sadaka Kwamba inakuaje watumishi wana magari ya gharama wakati YESU alikua anakula punda au TZ 11 wakati anatoa huduma. Mtumishi wa Mungu akajibu Yule Punda aliekua anatumia Yesu alikua wa viwango vya juu na hakuwahi kutumika na mtu yoyote..
View attachment 2979564View attachment 2979567
.
Ingekua kipindi hiki basi yule punda Angefananishwa na gari flani kali latest kama wanazotumia watumishi wa Mungu. Sasa wakati tunaanda sadaka zetu kwa siku za ibada zinazokuja turudi kwenye chuma iliyotuleta hapa ya Pr Tony Kapola. Hii machine inaitwa Ineos granadier na imekua designed kwa kazi chafu chafu [off road utility vehicle].
.
Machine imezaliwa 2022 though idea ilianza miaka ya nyuma kidogo ila 2019 ndo mambo yalipamba moto na hii idea sehemu kubwa ni muunganiko wa Uingereza na German engineering na hapa ndo Landrover waka team up na BMW kufanikisha hii project..
.
View attachment 2979598View attachment 2979599
.
Na Lengo lilikua ni kuleta Mbadala wa Landrover wenye advance techs, confortability nzuri na ifae kwa safari ndefu. Kama umeshawahi kusafiri na defender zile za zamani safari ndefu utajua mziki wake ile chuma inachosha, Unaweza safiri by the time unafika ukahitaji huduma ya kukandwa viungo vya mwili..
.
Na hili kuliweka sawa ndo huyu mwamba akaja na wakampa steel ladder chassis, hii ni chasis ambayo haiko straight yani inakua inapanda na kushuka ili kukidhi mahitaji flani ya mtumiaji na Lengo ni kukupa confortability na legroom ya kutosha ukiwa ndani ya chombo na inakua Na uwezo wa kuhimili mzigo mzito + stability..
.
View attachment 2979570View attachment 2979571
Tyre za nyuma na mbele kote zina coill spring na wamezipa beam axles ili zifae kwa safari ndefu na utulivu wa gari bararani. Yani Pale Mchungaji akitaka kusoma Malaki 3:10 asome kwa uzuri na kwa utulivu ili aje akufundishe Umuhimu wa kutoa sadaka, sio kila siku unapiga maombi kumbe hujamjaribu Bwana kwa matoleo then uone kama atakujaza kama asemavyo, anyway tuendelee..
.
Hii Chuma ina differential tatu [front, centre na rear] yani inafukunyua tope inashika ardhi mambo yanaenda na mwendo upo. Na hizi differential zimetengenezwa na kiwanda cha kutengeneza tractor hakuna tope litaleta shida hapa, hii ngoma kukwama ni issue..
View attachment 2979574View attachment 2979575
Speaking of body waliifanya ikawa boxy zaidi ili kukupa hewa zaidi, na nafasi ya kichwa kuanzia kiunoni na pia sightness nzuri ya barabara. Na hapo Juu sijakwambia hii chuma originality yake ni wapi Lakini jua kwamba machine sehemu kubwa imekua assembled France na kampuni nyingi zimetia mkono hapo.
.
Lakini pia hata Australia pia wana plant ya hii machine, tuendelee mbele kuna uhondo zaidi na Nikukumbushe tu Hapa hawaja copy/replicate kitu chochote kutoka kwa Defender but wametengeneza gari Ya kisasa zaidi kuliko Defender. Na hapa kuna gari ambazo walizitumia kama sample na kuona wafanye nini kitakacholeta utofauti zaidi na gari kama kina G wagon, Bronco, Pajero nk.
.
View attachment 2979605View attachment 2979608
.
Ukiangalia hata ndani tu unajua hii ni idea mpya, kwanza dashboard lake steering na infortainment zimekaa kibabe na kitofauti sana. Gari ina button za ku control vitu kama ubaridi na joto, parking assistance, double indicator nk kwa mbele katika kati.
.
Halafu gear knob Yake ni ya BMW imekaa utamu sana, Plus chini kuna control ya infotainment na pia screen yake hapo kati ni touch. Juu wameweka control za vitu kama differential lock, Hii ukiweka ON matopeni tyre zinakua na mzunguko sawa yani hakuna inayozunguka zaidi ya mwenzake..
View attachment 2979578View attachment 2979579
Lengo Ni isikwame pia kuna off road modes control, interior na exterior light control, down hill assist, electoronic stability control nk. Hili dude ukiliendesha unapata feeling kama unaendesha ndege ma button mixer juu kwa toproof na pale mbele kwa dashboard ya kutosha.
.
Machine ina sehemu ya kutolea umeme 12V kwenye Box /Boot hapo juu pia kuna button za winch kama unataka kuvuta kitu na vitu zingine. Seat za nyuma kuna USB port na ventilation za AC wamekuwekea hapo upate ubaridi kwa uzuri kabisa halafu linatumia battery mbili.
.
Kuna Main battery na secondary battery ziko hapo chini ya siti za nyuma na ina Inteligent smart check ya umeme ili incase kuna shida inakata moto.
View attachment 2979610View attachment 2979611
.
Speaking of space humo ndani kuanzia mbele mpaka nyuma ipo ya kutosha na gari inakula mzigo wa kutosha bila presure. Utakua umejiuliza mbona sioni speedmeter maana tumezoea kuona mshale hapa mbona hauonekani,
.
Iko hivi pale kwa infotainment screen ipo. Speed meter, gauge ya mafuta, gauge ya joto, rpm, gear nk zimekua digitalised zinakua Displayed kwa hio screen hapo kati [angalia picha]. Hii Binafisi haijanibariki sana gari ikishakua ya kazi mambo ya digital huwa siyapendi sana yale ma mishale shale huwa yana raha yake.
.
Anyway ni mambo ya teke linalokujia we have to accept it twende na dunia na pia inakupa average ya matumizi ya mafuta na km zilizobaki..
.
View attachment 2979580View attachment 2979581
Taarifa kwa hapo ni nyingi ili tuishie hapa twende jikoni kidogo maana nako ni muhimu maana ndiko nguvu zinatoka, Sasa gari jikoni imekuja na engine mbili na zote zimetoka kwa BMW ya kwanza ni Diesel engine 3.0L B57 na Ya pili ni Petrol 3.0L B58 zote ni turbo na Zote ni Inline 6 cylinder na ziko linked na ZF gear box ya 8 Speed-automatic transmission.
.
Hawa ZF ni watengeneza gearbox huko German jamaa wanatengeneza gearbox za 8 speed, nyepesi, hazili wese sana na zinaipa engine urahisi kufanya kazi ya kuipa gari mwendo, Hizi engine Diesel in 245HP wakati Petrol ana 282Hp0
.
Hizi ni ligi za kina Land Cruiser 300 series Yani nguvu ipo ya kutosha. Na hizi chuma kama unazipenda na unapenda mwendo chukua petrol tu cause naamini mpaka unaivuta hii ngoma level ya kuwaza mafuta ushapita.
.
8Km/L kwa petrol na Diesel itakupa average ya 12Km/L, Mchumi go for Diesel engine though kwenye maintanance inaweza kuku kaba kidogo as diesel engine a bit complex. Na zikila mafuta mabaya ku respond ni mapema tu but sio jambo la kukutisha as i believe una financial muscles za kupambana nalo.
View attachment 2979584View attachment 2979585
Hii machine ukiinunua kabla ya usafiri to bandari salama ina cost Ā£65,171 kama tsh tsh 179,973,460 ukiweka na freight charges Ā£800 185M Inahusika. Ukitia Kodi almost 150M-200M Million Mia Nne hii hapa, so kwa makadirio 350M++ Machine inakua imefika Bongo Land kufanya utumishi.
.
Sasa turudi kwenye default mode kwenye gari zetu pendwa za Japan. Kama unahitaji kuagiza gari njoo tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand etc., Dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa discount nzuri so upande wa bei nao uko safi ..
View attachment 2979586View attachment 2979588View attachment 2979589
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama kwa pesa yako na unaojali muda wako. Simply njoo WhatsApp 0714547598 au ofisini Posta Mpya MUA House 4th Floor mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri...
.
Kama uko mkoani na unahitaji Kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri pia tutakupa option za gari achagua utapewa invoice. Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo...

View attachment 2979590 View attachment 2979620 View attachment 2979591
.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi njoo katika kurasa zetu za jamii ili usipitwe na review + habari za magari huko twitter na Instagram, Pia unaweza Save This number Samatime magari 071454759 then share jina lako na unalapotikana tutasave number yako na utapata access ya kuona huduma zetu pamoja na offers tunazotoa kwa familia ya Samatime magari
.
Samatime Magari
0714547598
I dont understand land rover why wali ignore defender series model hii.
Ineos waka redisgn na kuipa new name, sijui kwenye ubora
 
Huyo jamaa ana hela ila ni mwembamba balaa!

Yupo kama Melo bhana
Kuna watu nadhani wembamba upo ndani ya genes zao. Anyways, swala sio pesa tu, taasisi za kidini huwa zina exemption ya kodi kwa asilimia kubwa sana na ndio maana wanaweza kuagiza gari yoyote kwa bei pungufu sana.
 
Tyre za nyuma na mbele kote zina coill spring na wamezipa beam axles ili zifae kwa safari ndefu na utulivu wa gari bararani. Yani Pale Mchungaji akitaka kusoma Malaki 3:10 asome kwa uzuri na kwa utulivu ili aje akufundishe Umuhimu wa kutoa sadaka, sio kila siku unapiga maombi kumbe hujamjaribu Bwana kwa matoleo then uone kama atakujaza kama asemavyo, anyway tuendelee..
šŸ˜…šŸ˜…šŸ¤£ ilaaa, presenter asee upo njema
 
Back
Top Bottom