Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo.
Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka nayo, itakuwa siyo nchi. Mtu wa tume akikosea atawajibishwa na nani? Hakuna uhuru usio na mipaka...
Asubuhi hii, nimebahatika kuona mjadala wa wanasiasa kupitia UTV ambapo mwenyekiti wa ngome ya vijana ya ACT wazalendo, amemvaa vilivyo naibu katibu mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mobeto.
Katika mjadala huo, Mwenezi huyo wa CCM amenukuliwa akisema Tume huru ya uchaguzi itaanza baada ya...
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu.
Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je NI kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?.
Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran.
Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano.
Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
Habari,
Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi.
Ukweli wake upoje?
Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake.
Katika tume hiyo,polisi isihusishwe Wala wasishiriki.
Pili kijana huyo asizikwe hadi uchunguzi utakapo malizika.
Ni Mwanasia machachari wa Kanda ya Ziwa aliyewahi kuvuma sana wakati huo.
Ametoa ufafanuzi wa kina na maelezo zaidi kuhusu sida bora za Tumee Huru ya
uchaguzi.
Katika maelezo yake amesema Nchi zote zinazotupatia misaada na zenye maendeleo zina mifumo ya uongozi na utawala bora.
Hivyo...
“Ukiangalia taarifa ya watazamaji wa uchaguzi wa kitaifa na kimataifa tangu mwaka 1995 wote wamesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo huru, na wamesema siyo huru kwa sababu, moja ni tume ya Rais kwa maana kwamba wajumbe wake wote ni wateule wa Rais , mtendaji wake mkuu ni mteule wa Rais...
Source: Clouds FM Power Breakfast.
Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.
Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya...
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:
Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.
Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:
“Tunapenda kuvitaarifu...
Sheria hii inabainisha muundo, majukumu, utaratibu wa upatikanaji wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na sifa za Mkurugenzi wa Uchaguzi, kuweka utaratibu wa uendeshaji wa vikao vya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na kuweka masuala mengine yanayohusiana na hayo.
Kwa mujibu wa Sheria hii...
MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA
Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa...
Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi.
Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala...
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .
Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu .
Chama chochote kikisha ingia madarakani...
Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol.
Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
Salaam ,shalom!!
Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk.
Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, maslah ya Wananchi yapo katika kutofautiana Kwa HOJA kuongeza Kasi ya...
Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
Muswada wa Sheria ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.