"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe 20 Mei 2024.
DODOMA: Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 3,326,230,419,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara, Vikosi vya Ulinzi kutoka Jeshi la Wananchi (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2024/25.
Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti iliyowasilishwa na Waziri...
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko.
CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu, shangazi zetu Babu zetu na Bibi zetu hii yote ni kwa sababu CCM wanabebwa na Historia.
Asilimia kubwa...
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
THE STORY OF CHANGE IN TANZANIA 2024
Mwaka 2024 watanzania wanatamani kuona mabadiliko mbalimbali chanya ususani katika sekta za Afya,Chakula, elimu na usafirishaji(miundombinu) na sekta nyingine muhimu ambazo mara nyingi hizi sekta zinategemeana.
Nitaelezea Kwa ufupi mambo makuu manne ambayo...
Hizi hapa Fani 11 za afya za kusoma mwaka 2024/2025
Kwa kutambua tatizo sugu la ajira nchini hizi ni Fani za Afya ambazo kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya wizara ya Afya 2024/2025 zitakuwa na uhitajio/Demand kubwa hapo mbeleni
Hivyo basi unaweza kumshauri mtoto au ndugu yako kusoma kwa kufuata...
Yele yanayo tokea Kilimanjaro Airport na kule Ngorongoro ni trela tu, full Move inakuja na kuna kulia na kuswaga meno mwaka 2026.
Kinacho ngojwa kwa sasa ni uchaguzi upite kwanza kabla ya move kuanza.
Maeneo yafuatayo watu watalia sana.
1. Longido kupisha MWarabu.Poli la Longido anapewa...
Mwaka Kesho 2025 mnamo October mpaka November basi kila raia wa Tanzania hadithi yake mpya itayo kua na mabadiliko ndipo itapo Anza kama ilikua ni yakupata uchaguzi wa haki,kupata kiongozi alie kua akimuhitaji, sela zao zilizo timizwa,ambazo hazijatimizwa, zilizo ahidiwa tena na kivipi Zita...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675
Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25
Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
"Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti
"Namshukuru...
Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25
Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000
Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21
➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84
➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni 52.36
Miradi ya Maendeleo: Tsh. Bilioni 363.11
➼ Fedha za Ndani - Tsh. Bilioni 242.07
➼ Misaada -...
Wizara ya Afya imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.31 itakayotumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Tsh. Bilioni 632.26 (48%) ya Bajeti zitaenda katika Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na Matumizi Mengineyo
Pia, Wizara itatumia Tsh. Bilioni 679.57 (52%) ya Bajeti katika Miradi ya...
Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je NI kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?.
Habari za majukumu ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka kununua mpya..
Naomba kuwasilisha kwenu
Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.
Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.