Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi .
Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending.
Acha kulalamika.
Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza
Rekebisheni mdomo , value man...
Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo.
Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo.
Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.
Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.
Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna...
Wanahabari,
Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo.
Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
Ni jambo gani ovu au si zuri kimaadili au kiimani, ambalo unalifahamu halikukemewa na kudhibitiwa vilivyo na sasa hivi jambo hilo linatetewa kana kwamba ni haki, hali ya kuwa halifai kulingana na mila, desturi na tamaduni za Kitanzania 🐒
Hebu ongeza unalokumbuka na kuliona mie naona hili la...
Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi.
Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia kiingie ili kilete pesa zaidi
1: Chakula
Hakikisha una mfumo imara wa kula tena kula vizuri...
Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
Kama kuna hatari unaweza kumsababishia ndugu, rafiki, kiongozi au yeyote unayemuhusudu ni kumsifia na kumtegemea kupitiliza.
Mungu mwenye wivu huwa anawasaidia wanadamu wanaowategemea kupitiliza wenzao tena kuwapa sifa kinafiki au kihalali kwa kuwapumzisha makaburini mapema wategemewa hao.
Hii...
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.
Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka.
Hata...
Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa.
Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.
Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).
Tukirejea hapa nyumbani kwasababu...
Waziri mwenye dhamana ya michezo wa Tanzania, Ndumbaru, siku ya leo amesikika akipiga marufuku watanzania wenye ushabiki (watakao vaa jezi) wa vilabu vya nje vinavyokuja kushindana na timu za Tanzania (Simba na Yanga) kuonekana uwanjani.
Kwa hakika hii sio kauli ya kiungwana kwenye soka, na...
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Nimetoka Uganda mara ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwa huko kwa Miaka Sita ya...
Kwako Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa na wahusika wengine. Kwanza, napenda kuwapa pole Kwa kazi ngumu na pongezi Kwa kazi nzuri ambayo wizara ya uchukuzi inafanya hususani ujenzi wa miundombinu mbalimbali na kubwa zaidi ujenzi wa Reli.
Waziri, binafsi ninakukubali Kwa uchapakazi na...
Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa.
Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa .
Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.