mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aka2030

    Neno Mwenza linasapoti upinde tuache kulitumia

    Hili neno halifai kabisa kutumika limekaa kusapoti upinde tuachane nalo kama mwanamke aitwe mke mwanaume mume
  2. Uwesutanzania

    UKIMWI (HIV) isikutenganishe wewe na mwenza wako

    Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu. Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30. Pia nachukua fursa hii kuwapa pole na waliokutwa na kimbunga hidaya. Na ndugu zangu wa Rufiji, Arusha na Morogoro sijawasahau...
  3. L

    Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  4. Surya

    Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  5. Nigrastratatract nerve

    Dkt. Hussein Mwinyi aweza kuwa mgombea urais wa CCM 2025 na Dr Titus Mlengeya Kamani akawa Mgombea Mwenza

    Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
  6. T

    Mgombea mwenza

    Mgombea mwenza wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokea Zanzibar mgombea urais anakuwa ametokea nchi gani?
  7. Dr Matola PhD

    Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

    Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna...
  8. Mjanja M1

    Je unampenda mwenza wako kuliko Ex wako?

    Leo Mjanja_M1 nimeamua kuuliza swali chonganishi ambalo naamini mtalijibu kwasababu mnatumia Fake ID's. Unampenda mwenza wako wasasa kuliko Ex wako? Tiririka Mkuu......
  9. Kambi ya Fisi

    Mwanandoa hapaswi kuishi mbali na mwenza wake

    Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi. Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda mfupi tu, baada ya hapo mambo yataanza kubadilika. Mwili utakusukuma kwenye ukuta, utaanza kutaniana na...
  10. Nigrastratatract nerve

    Ni Arusha tu ilikuwa inavuruga kukubalika kwa mwamba 2025 kuwa kama mgombea Mwenza wa Samia, hii ni Season 2, episode 1

    Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025. Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
  11. K

    Natafuta mchumba/ mwenza

    Mimi ni kijana wa miaka 30, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Sifa za mwenzi ninayemtaka 1. Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea. 2. Dini yoyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi. 3. Ajitegemee kiuchumi na awe...
  12. masai dada

    Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

    Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
  13. Expensive life

    Neno gani la kwanza huwa unamwambia mwenza wako baada ya kumaliza faragha?

    Baada ya minyanduano ya hapa na pale, neno gani la shukurani huwa unamwambia mwenza wako?
  14. P

    Rais Ruto: Kama Mwanaume akigombea Urais Mgombea Mwenza awe mwanamke

    Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika serikali ya Kenya Kwanza kwa ujumla. Katika uzinduzi wa Mkakati wa Baraza la Magavana Wanawake G7 jijini...
  15. Chance ndoto

    Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024. Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
  16. C

    Natafuta mwenza (mke)

    Habari, Natafuta mke wa kumpenda na kuishi naye maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani. Mimi ni mkristo, miaka 35, nafanya biashara (machinga), naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke miaka 28 hadi 32 awe mkristo, pia awe mpambanaji ili tushirikiane kwenye maisha. Asiwe na mtoto zaidi ya...
  17. S

    Kwenye fumanizi, pambana/ pigana na mwenza wako. Achana na aliyezawadiwa penzi

    Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi. Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume. Mkeo au mumeo hajabakwa, sasa inakuwaje unaacha kumpiga yeye unampiga mtu aliyekusaidia kumstarehesha?
  18. N

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi! Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe. Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  20. Mjanja M1

    Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
Back
Top Bottom