anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mbalila

    Anahitajika hitajika Mfamasia Dar.

    Anahitajika Mfamasia mwenye Degree kusimamia pharmacy iliyopo Kigamboni ,Mshahara ni makubaliano na mkurugenzi, namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
  2. dketikai

    Muhudumu wa bar anahitajika

    Maji ya Chai Arusha 0763759391. Jinsia ya Ke
  3. Kv-london

    IT specialist anahitajika Moshi Kilimanjaro

    Kama umesoma IT jaribu bahat Yako hapa
  4. The bump

    Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  5. S

    Nahitaji mke mtu mzima

    Nahitaji mke awe na umri kuanzia miaka 30 -48. Mimi nina umri wa miaka 44. Awe mkristo na mwenye kumcha Mungu. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
  6. G

    Mke anahitajika haraka

    Mimi ni: Kijana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa afya. Na hofu ya Mungu. Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi. Na kazi inayompatia...
  7. R

    Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Job Category 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Subcategory 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Description (Roles and Responsibilities) 1 Main purpose of job: BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
  8. E

    Anahitajika Mfamasia, mkoa wa kazi ni Lindi

    Anahitajika mfamasia mwenye Degree, mshahara utakuwa ni makubaliano kati ya mkurugenzi na muhusika. Tupo mkoa wa Lindi kwa maelezo zaidi piga +255 627 826 480 au 0656 704 979 Karibuni sana.
  9. M

    Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm au email; godfreycyp@yahoo.com
  10. K

    Anahitajika Mfanyakazi wa Stationery

    TANGAZO Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery. Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu. Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel, PowerPoint, Ms Publisher) vizuri na Software angalau Moja ya Adobe. Awe anajua kupiga passport na kuprint...
  11. M

    Mke anahitajika

    Mwanaume Naishi Dodoma kikazi. Umri wangu 39.5 Watoto 2mapacha , mama yao alkwshaorewa Dini:mkristo Kazi:nmeajiriwa na serikali Mweusi mimi sio sana Nahitaji mke Umri 25-35 Awe mweusi kidogo Watoto1 au wawili tutaangalia au asiwe nao Mkristo Awe na heshima na ajue kupiga goti kwenye kabila...
  12. D

    Anahitajika Afisa Masoko

    Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
  13. M

    Anahitajika secretary

    Anahitajika secretary kazi ya mwaka ila inaweza kuwa inaongezwa muda. SIFA -ajue computer vizuri -awe mchapa kazi kuna wakati ofisi inafungwa saa 12. -Awe mwepesi kujifunza -Awe mwaminifu -Aweze kufanya kazi kama team na wafanyakazi wengine . -umri kuanzia 18–45yrs Maombi yatumwe...
  14. The bump

    Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

    Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER MAJUKUMU : 1.Kuuza Vitu Dukani 2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika. 3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla 4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk. SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA 1.Uwe...
  15. Nehemia Kilave

    Afisa Utawala anahitajika Waja Hospital Geita

    Habari Jf , kuna nafasi ya kazi kwa upande wa afisa utawala Waja Hospital, wenye vigezo hivyo au vinavyo karibiana na hivyo mna karibishwa .
  16. BARDIZBAH

    Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

    Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
  17. Equation x

    Fundi wa kushona viatu anahitajika

    Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta. Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa. Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/= Kama una huo ujuzi, na huna kazi kwa sasa; njoo ujumuike na timu yetu kwa kazi. Karibu pm, kwa mwenye ujuzi tu.
  18. E

    Mke mwenye vigezo hivi anahitajika

    Kazi yangu biashara ndogo ndogo Kipato kwa mwezi ni 150,000 ,tukiungana kitaweza ongezeka Umri wangu miaka 35 Sina mtoto na sijaoa Mrefu wa wastani na mwembamba Sifa za mke Awe 25 yrs na kuendelea Asiwe single Mother Rangi yoyote zaidi zaidi mweusi Elimu isizidi diploma Mwalimu atapewa...
  19. Travis Wax

    Valentine special (mke ) anahitajika

    Hello Guy's kama kichwa kinavyo someka Binti / Mwanamke aliye single anahitajika: Sifa za Mwanamke: - Mwenye: heshima, Nidhamu, Utii, Hekima, Uvumilivu. - Umri: Miaka 25 - 45 - Ukazi: Dar es salaam / East Africa Sifa za Mwanaume: Mrefu, Mweupe Mwenye hofu ya Muenyezi Mungu Mpole, Mcheshi na...
Back
Top Bottom